Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Sunday, August 29, 2010

CHADEMA YAWASHA MOTO JANGWANI: SLAA & MKEWE, MBOWE, MARANDO, MNYIKA, MADEE, MBALINYI, LISSU

Picture
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni na ilani ya chama chao mbele ya maelfu ya watu waliofika kuushuhudia uzinduzi huo katika viwanja vya Jangwani. Slaa alisema kuwa akipewa ridhaa ya kuiongoza nchi hii basi atahakikisha ndani ya siku 100 za kwanza, katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafanyiwa marekebisho makubwa na pia kuhakikisha mfumo wa Elimu unabadilishwa.

Hizi ni baadhi tu ya picha za ufunguzi rasmi wa kampeni za kisiasa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, 2010.

No comments:

Post a Comment