Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Monday, August 16, 2010

FTARI YA JUMUIYA YA CHAMA CHA KIISALAM TAMCO USA
















Viongozi wakamati waliojitolewa kufanya huduma za kuweka mambo safi.

Jumuiya ya watanzani waliokuwepo katika mji wa Maryland pamoja na Washington Dc nchini Marekani. Jana imetimiza siku ya pili ya kuftarisha, kila ifikapo siku za wikiendi, Jumamosi na jumapili, katika kipindi hiki cha mwemzi mtukufu wa ramadhani. Vile vile inatoa shukurani kwa waumuni wote waliochangia kwa hali na mali. Special kina mama waliojitahidi kwa mapishi mbali mbali yenye kila aina ya test za kinyumbani.

Kina baba na kaka mnaombwa mjee na vinywaji au hata na grocery shopping, kwa jili ya kina mama, tayarisho la wiki inayokuja jitahidi usije nmkuno mtupu haurambwi. na michango inaendelea kama tulivyo. Kwa maelezo zaidi wasiliana na viongozi wa tamco Ahsanteni.

Jumamosi August 21:

Place:
Spencerville Local Park
15701 Good Hope Road
Silver Spring, MD 20905-4035

No comments:

Post a Comment