Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Saturday, August 14, 2010

FUTARI YA DK.SHEIN…..!!!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete wa pili kushoto, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa kushoto, Makamu wa Rais Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein wa pili kulia, na Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi kulia, wakila futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein nyumbani kwake Kilimani mjini Dodoma jana jioni.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein kushoto, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kula futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein nyumbani kwakwe kilimani mjini Dodoma jana jioni. Picha na Amour Nassor wa VPO

No comments:

Post a Comment