Andrew Pesa Igala. amefariki Huko Washington DC Maryland . Juzi tarehe 26 aug 2010, Sasa hivi tunaomba Michango ya hali na Mali kwa ajili ya kufikisha $10.000 Ambazo ni gharama za kusafirisha mwili kuja Tanzania. Kwa habari zaidi wasiliana na MR Prosper Sugai Tell +819022308435 begin_of_the_skype_highlighting +819022308435 end_of_the_skype_highlighting Ngoya Willy +81 9072187118 begin_of_the_skype_highlighting +81 9072187118 end_of_the_skype_highlighting kwa USA wawasiliane na Mr. Mziray Tell no+12162350138 michango ya haraka Inatakiwa kwa ajili ya kufanikisha kufikisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania kwa mazishi, wapendwa katika jina la mungu tufanikishe msiba huu kwa kuchangia gharama za kusafirisha mwili wa marehemu mungu awabariki wote.
Sunday, August 29, 2010
MSIBA WA MAREHEMU PESA IGALA HAPA WASHINGTON DC MARYLAND!!
Andrew Pesa Igala. amefariki Huko Washington DC Maryland . Juzi tarehe 26 aug 2010, Sasa hivi tunaomba Michango ya hali na Mali kwa ajili ya kufikisha $10.000 Ambazo ni gharama za kusafirisha mwili kuja Tanzania. Kwa habari zaidi wasiliana na MR Prosper Sugai Tell +819022308435 begin_of_the_skype_highlighting +819022308435 end_of_the_skype_highlighting Ngoya Willy +81 9072187118 begin_of_the_skype_highlighting +81 9072187118 end_of_the_skype_highlighting kwa USA wawasiliane na Mr. Mziray Tell no+12162350138 michango ya haraka Inatakiwa kwa ajili ya kufanikisha kufikisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania kwa mazishi, wapendwa katika jina la mungu tufanikishe msiba huu kwa kuchangia gharama za kusafirisha mwili wa marehemu mungu awabariki wote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment