Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Tuesday, August 17, 2010

MTOTO WA JAY- Z,ATAKUJA MUDA UKIFIKA….!!!!

Kutokana na mahojiano aliyo fanya na gazeti la the daily mail mwana dada au tuseme mwana mama Beyonce amedai eti swala la kupata kids na mme wake rapa Jay-z mwenye umri wa miaka 40 litatimia tu siku moja.

Yeye amedai “bado anahitaji kujifunza zaidi kuhusu ulimwengu na baada ya hapo ndo mtoto aje. Sina haraka yakuwa mama na hakuna mda,wala tarehe yakupata mtoto siku ikifika imefika tu” aliongeza.

Tatizo kubwa linalomikabili ni mda wa kuwamke,mama,mwanamuziki,mwigizaji,msimamizi wa biashara zake za nguo na sasa ana manukato yake ameyanzisha, anadhani ni ngumu kuwa mama kutokana na mambo mengi. Alimalizia kwa kusema” kila mwana mke anapenda kuwa na watoto na mimi pia ni hivyo hivyo”.

No comments:

Post a Comment