Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Tuesday, August 10, 2010

MUANZISHAJI NA MUHARIRI MSAIDIZI WA TZSWAHILIVILLAGE WAWATAKIA WADAU RAMADHANI NJEMA.

Tunawaombea kheri nyingi na ramadhani njema itakayokuwa maqbuul Insha Allah.
Ramadhan Mubarak na tumewandalia Qaswida ya Yusuf Islam - Ramadan Moon Tunawaomba muisikilize kwa makini .. Ahsanteni.

Yusuf Islam - Ramadan Moon. tzswahilivillage.blogsot.com
Ebou na Khamis Masha. Wanawakaribisha Mwenzi mtukufu wa Ramadan Kareem

No comments:

Post a Comment