Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Wednesday, August 11, 2010

MWEZI UMEONEKANA LEO JUMANNE, NA KESHO JUMATANO NI RAMADHAAN 1


Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,
Ndugu wapenzi,

MWEZI UMEONEKANA NCHI KADHAA, NA KESHO NI SIKU YA KWANZA YA RAMADHAAN INSHA ALLAAH

Tunawaombea kheri nyingi na Ramadhaan njema itakayokuwa Maqbuul na dhambi za kughufuriwa Inshaa-Allaah.

Kadhaalika tunapenda kuwajulisha kuwa tumewakusanyia mambo mengi mbalimbali ya kusoma na kusikiliza yanayohusu mwezi mtukufu wa Ramadhaan, tukitumai kwamba mtafaidika nayo; muweze kubakia katika hali ya Iymaan na Ucha Mungu daima. Pia mnufaike nayo na muweze kuchuma thawabu nyingi kwa kuyafanyia kazi yale yote mnayojifunza na mtoke katika mwezi huu mtukufu zikiwa Swawm zenu zimekubaliwa na madhambi kughufuriwa pamoja na sisi sote. Tunawomba msitutasahau kwa du'aa zenu.

No comments:

Post a Comment