Rais Kikwete atoa futari kwa watoto yatima ikulu!!
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa zawadi kwa baadhi ya watoto yatima kutoka taasisi mbalimbali mjini Dodoma walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete ikulu ndogo mjini Dodoma jana jioni
No comments:
Post a Comment