
Hawa ni baadhi tu kati ya Wamasai kibao waliojazana mjini Zanzibar katika maeneo mbalimbali, ambao usiku hugeuka kuwa walinzi wa mageti na nyumba za watu. Hebu mdau angalia watu hawa ni wamasai wa wapi hawa mcheki huyu wa katikati na ametoga sikio na panki la Kibrazamen kabisa Wakuu angalieni wamasai wa kuwaajali katika kazi ya ulinzi jamani ohooo!(Credit Sufianimafoto.blogspot.com)

No comments:
Post a Comment