
Wishing you all the joy your heart can hold, all the smiles a day can bring, all the Blessings life can unfold. May you have Allah’s Best in Everything.”Ameen
Dedie Ruba MD: Upepo wa isha ya ijumaa upepe usoni mwako.
Malaika weema wawe rafikizako.
Usiku huu uwe mwema kwako.
Nadua unapoomba usinisahau mwenzako
Ijumaa njeema kwa wadau wote wa Tzsv.
Uwesu Bakar MM: Mauwa hufa nyimbo huchosha.Hadithi huisha, lakini ndugu mwema
kama wewe hakika ni hazina isiokwisha
maishani mwangu. ijuma kareem
Kwa wadau wote wa tzswahilivillage

Mgeni Vuai Ohio Columbus: Asante Muheshimiwa. you have my vote if you ever decide to running for president
Go mzee mkabwabwa Ijumaa njemaa
Idumu tzswahilivillage.

Mdhamini wa pendo MD SMS: Ewe tumwa Maulana Mola usomshirika,
Niwewe peke Rabana Stara yako twataka,
Tustiri Sultana Kwavile unavyotaka,
Ajae na mbaya dhana Mfanye unavyotaka.
Jumaa' kareem Kwa watau wote wa
tzswahilivillage idumu kwa hakika Ameen.

No comments:
Post a Comment