Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Tuesday, September 28, 2010

NASSARI JOSHUA/ CHADEMA ARUMERU NA HALIMA MADEE/CHADEMA KWELI KAWE WANAIOMBA KURA YAKO

Ujumbe nilioupokea wenye maombi ya kubandika picha za wagombea wa Ubunge katika majimbo ya Arumeru na Kawe wakiomba kuungwa mkono. Picha tatu za kwanza ni za mgombea Ubunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Nassari Joshua akiwa katika mikutano ya kampeni.

Joshua ni msomi wa "Sociology" toka Chuo Kikuu Dar-es-Salaam. Alipokuwa chuoni alikuwa Spika wa Serikali ya wanafunzi na kusimamia maslahi ya wanafunzi na amekuwa mstari wa mbele kutetea haki na maslahi ya vijana kwa muda mrefu.

Vile vile anwani ya blogu ya Halima Mdee mgombea wa jimbo la Kawe-CHADEMA akikaribisha kufuatilia matukio ya kampeni zake kupitia blogu ya jimbolakawe.blogspot.com

Bofya picha kupata maelezo yanayoambatana na picha husika.

No comments:

Post a Comment