Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Monday, September 27, 2010

Salamu kutoka kwa ''Badru Bakar'' nchini Australia

Assalam alaikum: wadau wote wanaoitembelea blog hii. Sinabudi kutoa shukurani zangu za dhati kwa mwana blog hii ya swahili villa, ambayo inayotuhabarisha kwa habari mbali mbali za kijamii michezo n.k. Madhumuni yangu ya dhati nikuwatakia kila la kheri. M/mungu atujaalie Imani thabit, afya njeema, pamoja na taqwa,tuzidi kushikamana na kuonyeshana upendo katika kipindi hiki kigumu kilichotukabili  shukran.

No comments:

Post a Comment