SHABANI Himidi (7) anayetarajiwa kuanza darasa la kwanza mwakani katika shule ya Green Hill, Dar es Salaam, akionyesha 'machejo' ya kucheza wimbo wa 'uwe' wa kundi la Makhiri khiri, katika mahafali hayo
Polisi na watu wengine wakimtuza hela kibao mtoto huyo baada ya kuwachen gua kwa machejo yake.
Wahitimu wa mambo ya ulimbwende na saluni wakijimwanyamwaya uwanjani wakati wa mahafali hayo.

No comments:
Post a Comment