Jana katika mchezo wa NFL American Football ndani ya Jiji la Arlington, Texas Washington Redskins, ilishindwa kuwafunga Dallas Cowboys kwao, na kuaacha wapenzi watimu hiyo hoi bin tabaani.
Mchezaji wa Dallas Cowboys quarterback Jon Kitna akijaribu kuvamia na kuingia kwakasi kwenye mstari wa goli, huku mchezaji wa Washington Redskins' Carlos Rogers kumbana mbavu katika mchezo wa NFL football ,jana jumapili, Dec. 19, 2010. Dallas Cowboys Walitoka mikono juu kwa pwenti 33-30 Dhidi ya Washington Redskins.

No comments:
Post a Comment