Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Wednesday, December 15, 2010

RESTAURANT BRENTWOOD INAWALETEA TANZANIGHT MADIKODIKO MISOSI!






Full misosi madikodiko ya aina yake. Wali samaki chachandu, ugali nyama mbuzi, nyama ngo'mbe ndizi mbichi, kwa utumbo, supu mchanganyiko, sambusa katlesi kachori badia kama tupo udosini, Bei $8.26
Tu + tax poa Njoo jione kwa macho yako usikubali kuhadithiwa. Inaaza rasmi leo Jumatano Dec,15/2010  *4400 Rhodes Island Eve, Brentwood MD 20722* ......... 5 DAY A WEEK Nyote Mnakaribishwa. 

No comments:

Post a Comment