
Katibu wa Bunge la Tanzania ambae pia ni Katibu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola
barani Afrika, Dr.Thomas Kashililah (mwenye miwani) akimkabidhi Katibu wa Bunge la Ghana,
Emmanuel Anyimadu vitabu vya Mpango Mkakati (Strategic Plan) wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya
ya Madola (C
Katibu wa Bunge la Tanzania, Dr. Thomas Kashililah(wa pili kulia) akiwa na Katibu wa Ghana,
Emmanuel Anyimadu wakiwa na siwa ambayo ni ishara ya mamlaka kamili ya Bunge la nchi hiyo.
Katibu wa Bunge la Tanzania yuko Ghana kwa nafasi yake kama Katibu wa Bara la Afrika wa
Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola akiwa ameenda huko kutathmini maandalizi ya Mkutano
wa kwanza wa Makatibu wa Mabunge wanachama wa Chama hicho kanda ya Afrika.
Wengine pichani
kutoka kushoto ni Saidi Yakubu (Mratibu wa chama hicho barani Afrika), Demetrius Mgalami (wa
pili kulia) ambaye ni Naibu Katibu wa Bara la Afrika wa Chama hicho, na wa kwanza kulia ni
Robert Okudo, Naibu Katibu wa Bunge la Ghana.

No comments:
Post a Comment