Baby madaha akiwa na msanii Jack wakati wa uzinduzi wa filimu ya NUMBER FORTY FOUR ,BABY ni mmoja wa washiriki katika filamu hiyo.
Baadhi ya washiriki wa filamu wakati wa uzinduzi.
Hao nao walisindikiza rafiki zao.
Filamu ya HOUSE NUMBER FORTY FOUR iliyowashirikisha wasanii wa filamu wa Tanzania imezinduliwa rasmi Jijini DSM

No comments:
Post a Comment