![]() |
Rais Hu Jintao wa China ameridhia kuwa bado mengi yanapaswa kufanyika nchini China kuhusiana na masuala ya haki za binadamu.
Akizungumza na vyombo vya habari katika mkutano wa pamoja na rais barrack Obama Rais Hu amesema hata hivyo China imepiga hatua kubwa na kufanya mabadiliko makubwa yanayotambulika duniani kuhusiana na kutambua haki za binadamu.
Raos Obama kwa upande wake amesema ameona mwelekeo chanya wa China kuwa ni kitu kizuri kwa Marekani, na kuwa nchi yake inapendelea kuona mamilioni ya watu wakisaidiwa kutoka katika lindi la umasikini.

No comments:
Post a Comment