Mchezaji nyota wa time ya Mike Maryland United *Abdulla Riyami* Juzi jumatano kwenye tarehe za Luck Number, Jan,1/11/11 amejaliwa kupata prencess wa pili katika ndoa yake, iliyobarikiwa jijini hapa maryland.
Wadau wa swahilivilla wanakutakia kila la kheri, uwe baba mzuri na kulea watoto wako kama ulivyo lelewa kwa jitihada zote mpaka ukafika hapo ulipo, M/mungu awajalie maisha ya raha yenye kujitanafasi wewe pamoja na mdhamini wapendo, uliempa pendo na akajua kulipokea kwa dhamana zote.
Yadumu mapenzi kama yalivyo dumu ya wazee wako wawili . Raha ya ya mke kumpa heshima zote, kumlea na kumthamini katika ndoa. na mke naee kwa mume nakadhalika ndio hayo hayo. M/Mungu awape subra njeema, ndio nguzo ya mafanikio ya maisha yunu mpaka mtakapozikana,Vile vile awajalie watoto wawe na nguvu na afyaa jeema muwape mapenzi yote watoto wenu kama mlivyo pendana hapo awali Allahuuma takabal dua Ameen. Nawatakia, Ijumaa kareem kareem.

No comments:
Post a Comment