Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Monday, January 10, 2011

MH DK MWAKYEMBE ATEMBELEA MACHIMBO YA KUNDUCHI

Naibu Waziri wa Ujenzi Dr. Harrison Mwakyembe (mwenye shati la marembo) akiangalia shughuli za uchimbaji wa kokoto katika eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam jana alipofanya ziara ya kuangalia shughuli za uchimbaji katika eneo hilo. Pichani mwenye shati jeupe ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Hebert Mrango. (picha na mpiga picha wetu.)

Naibu Waziri wa Ujenzi Dr. Harrison Mwakyembe (mwenye shati la marembo) Dr. Harrison Mwakyembe akiongea jana na baadhi ya wachimbaji kokoto katika eneo la Kunduchi jijini Dar es salaam alipofanya ziara ya kuangalia shughuli za uchimbaji kokoto (mwenye shati jeupe) Ni Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Ujenzi Balozi Hebert Mrango. (Na mpiga picha wetu).

No comments:

Post a Comment