
Mh. Balozi Mwanaidi Maajar akijitambulisha rasmi kwa watanzania waliojitokeza states mbali mbali, pamoja na watanzania wanaoishi hapa washington DC,
Na Sunday Shomari
Mkutano uliofajika jiji hapa siku ya jumamosi Jan, /29/2011 Mh. Balozi Mwanaidi Maajar. Mambo mengine alitoa nafasi ya watanzania hao kuweza kwenda kumwona ofisini kwake kila Jumanne na kufanikisha uchaguzi wa kamati ya katiba ya jumuiya ya watanzania.
Aidha mh. Balozi pia aliwapa nafasi maafisa wake wa ubalozi kujitambulisha kwa watanzania na pia kutoa mawasiliano yao wazi ikiwemo simu na barua pepe na kuweka bayana kuwa milango ya mawasiliano kati ya ubalozi na watanzania iko wazi.
Balozi pia alikuwa wa kwanza kutoa mawasiliano yake wazi mbele ya watanzania wa Washington Dc ikiwemo mpaka nambari yake ya mkononi kitu ambacho hakijawahi kuonekana kwa viongozi wengine waliopita katika ofisi yake. (Mpiga picha wetu swahilivilla)


Kwa kazi nzuri aliyoifanya mzee wa Changamoto yetu kijana anaestahili sifa zote katika web edit Mubelwa Bandio akisalimiana na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mahali Hollywood Ballroom ndani ya Silver spring jijini Maryland nchini marekani. Kwa wale wasiosikia mkutano huu usikose kumtembelea Changamotoyetu.blogspot.com/


Ebou waswahilivilla akiwa bega kwa bega na anko Sunday Shomari katika mambo ya kunasa image
za waliohudhurika katika mkutano, uliomalizika kwa mafanikio makuwa ya kuchagua viongozi wa jumuiya ya watanzania wanaoishi jijini hapa. Usikose kutembelea libeneke la Sunday Shomari kwa kusoma habari za kilasimu. Gonga hapa Sundayshomar.

Maalim Seif Ameir akiwakilisha shirika la utali, Cultural Toursim ndani ya nchi yetu kamavile mlima wa kilimanjaro, kisiwa cha zanzibar na serengeti, kukaribisha watalii wakaone wanyama kule nyumbani tanzania.

No comments:
Post a Comment