Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Tuesday, January 11, 2011

JIJINI DAR ES SALAM: AJIRA KWA WATANZANIA ZAZIDI KUPOTEA SIKU HADI SIKU…!!!

Wachina wajipinda kama waspanish. huko nchini Tanzania.
Katikati ya maeneo ya jiji karibu kabisa na jengo la International House mchina akipiga plasta. Vijana Watanzania tuchape kazi kwani ajira ndio zinaondoka hivyo, kama mchina anapiga plasta sasa Mtanzania wa kawaida wa hali ya chini atafanya kazi gani?

Tuache kadharau kazi kwani nimoja yakutokuwa na maendeleo binafsi, mchina kishakula milioni zake.Watanzania tuliohapa Marikani tunajipinda kupeleka dolla Tanzania' kina toyota na suzuki wanatoa bongo wanapeleka china kweli tutafika!

   

No comments:

Post a Comment