Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Friday, January 21, 2011

THE TRIP OF KELLY ROWLAND TO TANZANIA ON 2008…!!!

Mwanamuziki maarufu wa Marekani na mmoja wa waanzilishi wa kundi la muziki la Destiny’s Child Kelly Rowland alifanya ziara nchini Tanzania kama Balozi maalum wa Taasisi ya MTV Staying Alive inayojihusisha na kutoa elimu juu ya maswala ya Ukimwi na umuhimu wa kupima Afya.

Akiwa Tanzania Kelly Rowland alikutanishwa na Binti aitwaye Eliza anyeongoza Kikundi kijulikanacho kama” Elizabeth Youth Group” kinachojishughulisha na miradi mbalimbali ya vijana katika kutoa elimu kuhusu ukimwi na matumizi ya madawa ya kulevya. 

Eliza mwenyewe ambaye ni muathirika,aliwahi kufanya kazi ya kujiuza kabla hajaamua kubadili maisha yake na kuamua kusaidia wengine. Ziara hiyo aliifanya mnamo mwaka 2008 na la msingi zaidi MO BLOG inalotaka kukumbusha ni pale alipotembelea eneo maarufu jijini Dar lilikokuwa likijulikana kama “UWANJAWA FISI”.

 
Kelly with a HIV infected child with the drug addict mother.




Kelly Ndani ya uwanja wa fisi jijini Dar.!


Kelly roving around UWANJA WA FISI accompanied by Eliza.


Eliza receiving grant from MTV Staying Alive.

No comments:

Post a Comment