JENGO la Mahkama Kuu Vuga ambapo kesi ya mauaji inaendelea kunguruma.
Wanafamilia wa Marehemu Robert Stranger Dicourcer kutoka Ireland wakifuatilia kesi mauaji inayowakabili Wazanzibari wawili iliyotokea Agosti 7 mwaka 2009, katika ufukwe wa Nungwi, katika Mahakama Kuu ya Zanzibar jana. Aliyesimama ni wakili Nassor Mohammed.
Wanafamilia wakiwa Mahkama kuu wakifuatilia kesi ya mauaji inayowakabili Othman Khamis (35) na Mohammed Abdullah (39) ambayo imeakhirishwa hadi Alkhamis ijayo.
Habari na picha kwa hisani ya Othman Maulid Othman.
Habari na picha kwa hisani ya Othman Maulid Othman.

No comments:
Post a Comment