Kocha mchezaji Khery Yahya akipasha misuli moto kwenye uwanja wa Meadowbrook, Chevy Chase, Maryland nchini Marekani, ambae amejitolea rasmi kurithi kipaji cha Baba yake mzazi, Marehemu Mzee kheri (R.I.P) aliekuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Stars kutoka Zanzibar. ambaye ni mmoja wapo wa makocha bora kutokea kisiwani humo.
Kheri Yahya ameaza mazowezi rasmi wiki iliopita kujitolea kuchukua kipaji hicho, kuwafunza watoto waliokuwa wanaishi mjini hapa. Kwa malengo ya kujiendeleza kwenye janga la kandanda hata kama atarudi nyumbani, huenda akaleta mafanikiwa meema kwa timu zijazo.
Rasheed Beach boy dogo pamoja na kocha mchezaji Kheri Yahya katika mazowezi ya pamoja ndani ya Meadowbrook, jana jumapili April,10/2011 Kwa wale wazee wenye wa toto ili kuendeleza vipaji vyao katika mchezo wa kandanda mnakaribishwa kila jumapili @ Meadowbrook, Chevy Chase, Maryland.

No comments:
Post a Comment