Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Sunday, April 3, 2011

LEO NI SIMBA NA TP-MAZEMBE UWANJA WA TAIFA

Kikosi cha TP Mazembe
Timu ya Simba inashuka dimbani leo kumenyana na timu machachari ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC, TP Mazembe, katika mechi ngumu na muhimu ya Ligi ya mabingwa Afrika.

Mechi hiyo inakitwa kuanzia saa 9.30 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba inatakiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mechi hiyo, kwa kuwa katika mechi ya kwanza zilipokutana timu hizo nchini DRC, ilichapwa mabao 3-1.

Kikosi cha Simba
Klabu ya Simba, chini ya Kocha wake, Mzambia Patrick Phiri inawatara wachezaji wake mahiri wakiwemo Mussa Hassan Mgosi, Emmanuel Okwi, Mbwana Samata na Rashid Gumbo. kufanya kweli ili kuibuka na ushindi.

No comments:

Post a Comment