Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Saturday, June 11, 2011

MAWAIDHA YA JANA IJUMAA KUHUSU MAPENZI JUU YA MAMA!

Baada ya salaa ya ijumaa watu wakitoka Masjid  Ibn Taymiyyah.

Waislamu wakitabaruk kwenye msikiti mdogo unaoitwa Masjid Ibn Taymiyyah iliokuwepo Martin Luther King Jr Highway, Landover. Maryland nchini marekani. 

Vile vile kwa wale waislam wanaoishi mitaa hii kuna madrasa hapa wanafundisha  mafunzo ya dini, mtoto mmoja kwa mwezi $20 ukiwa na watatu mmoja free, kwa mawasiliyano zaidi Bofya hapa Masjid Ibn Taymiyyah

Angalia Na Usikilize Kwa Makini Mawaidha Kuhusu Mapenzi Juu ya MAMA

No comments:

Post a Comment