Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Wednesday, July 27, 2011

Dada Jamila awatakia timu ya Bongo Real Kujitahidi katika mechi ya tatu

"Sio kama wameshinda ila  wametae game yani wametoa drow, "kwenye mchezo wa mwazo mmeshinda bao 3-2 mechi ya marudiano wametae 6-1 mchezo umekuwa sawa sawa hakuna mshindi sasa subirini mechi ya tatu atakaeshinda hapo ndio atajulikana nani zaidi kati ya Bongo Real na Unyarugusu"

Ndivyo asemavyo Mrembo wa timu hiyo pale ulipomaliza mchezo wa jumamosi dhidi ya Bongo real Vs Unyarukusu siku ya jumapili ya wiki iliyopita!

Mchezaji wa Bongo Real Winger ya kulia Khalid Londa akipata flash ya pamoja na mwana dada Jamila kwenye mechi ya marudiano katia Unyarugusu Vs Bongo Real. ndani ya kiwanja cha Meadowbrook Park Maryland nchini Marekani.

Wakati huo huo tumepata habari hivi punde kutoka  kwa Captain  wa Bongo Real,  Ali Tumbo  ya kwamba  ile (NYAMA CHOMA NDIZI KWA CHACHANDU) Itakuwa siku ya jumapili hii Julai'31/2011 mida ya 
4: PM mpaka juaa kuzama.

Vile vile kwawale wachezaji waliojaliwa kuwa na familia zao pia mnakaribishwa kuja kujumuika pamoja kuchoma nyama  kwenye Park ya Meadowbrook Park. Watanzania nyote mnakaribishwa  tule nyama choma .

No comments:

Post a Comment