Mhe Balozi Mwanaidi Maajar Akielezea Maandalizi ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania
Sehemu ya kwanza na yapili ya maelezo juu ya maandalizi ya sherehe za MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA yatakayofanyika Septemba 22 - 25 hapa Washington DC kama yanavyoelezwa na Mhe Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mwanaidi Maajar
No comments:
Post a Comment