Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Saturday, July 9, 2011

Nawatakia Dar Yanga African ushindi mwema.....Yanga Oyeeee!

YANGA DAR AFRICAN. wachape Simba Sport Cub bao mbili tu, wakatafute mbege wanywe

Vile vile kwa wale wote wapenzi wa Dar Yanga African duniani kote nawatakia ushindi mwema msiwe na wasiwasi hao ni wetu tu vichanchari dobwe goli bwino. natabiri Simba 1 Yanga 2

2 comments:

  1. msije mkakimbia kabla ya mpira kuisha ha ha ha

    ReplyDelete
  2. Dada Dina tuna uhakika Alaa kumbe ni Simba damu nimesha kushtukizia dada huku tumefurahi sana kumchapa simba bao 1-0

    ReplyDelete