
Na hata ukivipata haviwe kama vya nyumbani, huyo ni pwenza aliekolea full chachandu na vijiti vya kunasua nyama ndani ya meno umeekewa, amakweli nyumbani ni nyumbani, huku hatuvipati na hata tukivipata basi haviwi kama kwenye picha vinavyoumiza rogo mhhh!

isee mjomba mie mate/denda linanitoka kuona picha tuu walahi.........lol(Meya seattle wa A.Dola)
ReplyDeleteHaha Amin nilijua watatokwa na mate wingi tu maana inatamanisha
ReplyDelete