Shen Yun. ni moja katika tamasha la Kichina, ambalo hucheza mziki wa hisia za ajabu na zenye nguvu, katika tamasha la kusherekea miaka 5,000 ya uhuru wao huku China, tamasha hilo lilifanyika jana usiku wa kuamkia leo Jumatano Nov 23,2011 katika ukumbu wa John F. Kennedy Center hapa jijini Washington DC
Sanamu la alikuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy Center. ambao Shen Yun walifanya tamasha hilo ndani ya ukumbi huu wa The John F. Kennedy Center
Baadhi ya watazamaji wakiwa katika harakati za kujitayarisha kuwaona Shen Yun ndani ya ukumbi wa The John F. Kennedy Center Opera House.
Wageni kutoka majimbo mbali mbali ya hapa Marekani kuja kuangalia tamasha hilo lenye nguvu na hisia za ajabu.
Mzee wa mavumbuzi Bruno mazali akipata picha ya pamoja na wajasirimali wa Kimarekani katika tamasha hilo la (Reviving 5,000 Years of Civilization)
Baadhi ya watu mbali mbali waliofurika katika tamasha hilo la utamaduni wa watu wa chini ambao unachezwa kistarabu na wachezaji wasomi duniani.
Mamia ya watu kutoka sehemu mbali mbali wakingia katika tamasha hilo
Baadhi ya watazamaji waliohudhuria katika sherehe hizo wakipata picha ya pamoja na waanzilishi wa tamasha hilo, pamoja na Bruno Mazali, akiwa (katikati) mstari wa nyuma, akiwemo na mzee wa swahilivilla Abou Shatry wa kwanza (kulia) pamoja na wenye sera ya (Learning together and changing the world) Wana Henson Valley Academy.
Mzee wa mavumbuzi Bruno Mazali akiwa na Mzee wa swahilivillla ndani ya ukumbi wa The John F. Kennedy Center Opera House.
Vizuwizi tulivyoekewa ndani ya tamasha hilo vimewafanya baadhi ya wadau wetu wa swahilivilla kukosa burudani za watu ambao wanatambua nini thamani ya tamaduni zao na kuzipa kipao mbele,
Pichani mmiliki wa swahilivilla akitoa ushahidi tosha wa kukosa baadhi ya picha katika tamasha hilo ndani ya ukumbi wa The John F. Kennedy Center Opera House Jana

Vile vile Bw. Bruno Mazali pamoja na American Classic Queen of the District of Columbia! wakipata picha ya pamoja kwenye Banner hiyo ya kutoruhusu kupiga picha, video au Recording na kuifanya swahilivilla kukosa vibwanga vywa picha juu ya watu wanaothamini tamaduni zao.
Aliekuwa muimbaji ndani ya tamasha hilo Sen Niel wapili (kushoto) pamja na bibie Lisa Fan ambae ni Reporter akifatiwa na Bruno Mazali na Cheif wa swahilivilla. jana Jumane Nov 22, 2011 Washington Dc.
Shen Yun 2012 from clearharmony on Vimeo.

No comments:
Post a Comment