BLOG: Inawaombeni Mungu awabariki wote, awape moyo wa imani subira upendo na afya njeema, mama na baba pamoja na vimwana ili mpate kuwalea kwa upendo kama mlivyo lelewa na wazee, nyendo na maadali ya kinyumbani zinaleta huruma kwa wazee Amina.
Saturday, April 30, 2011
ZAIDI YA WAFUNGWA 800 WATOROKA JELA TUNISIA…!!!">ZAIDI YA WAFUNGWA 800 WATOROKA JELA TUNISIA

Zaidi ya wafungwa 800 wametoroka jela nchini Tunisia.
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la taifa TAP, takriban wafungwa 520 wametoroka katika gereza la Kasserine baada ya moto kutokea katika vyumba viwili.
Wafungwa wengine 300 wametoroka katika gereza la Gafsa wakati wafanyakazi wa gereza hilo wakiwa katika mgomo.
Takriban wafungwa 10,000 walitoroka kutoka katika magereza mbalimbali nchini humo, wakati wa machafuko yaliyotokea baada ya rais wa zamani wa Tunisia Zine El Abidine Ben Ali kuikimbia nchi hiyo.
WHO Watua Samunge

Wanasayansi wa ndani wathibitisha uwezo wake.Mussa Juma, Samunge
Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja na taasisi mbalimbali za afya nchini, jana walifika Samunge kuanza mchakato wa kutafiti dawa inayotolewa na Mchungaji, Ambilikile Mwasapila kama inatibu magonjwa sugu au la.Wataalamu hao walifika Samunge majira ya saa sita mchana na kusababisha kusitishwa kwa muda utoaji wa tiba ili kuwapa nafasi ya kufanya mahojiano na Mchungaji Mwasapila, kuchukua sampuli za dawa na mti ya mugariga. Baada ya mahiojiano, nao pia walipata kikombe cha tiba.
Wataalamu hao ni pamoja na Profesa Charles Wambebe wa WHO Marekani, Dk Budeba Sylvester wa Wizara ya Afya na Dk Georges Shemdowe kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia.Ujumbe wa huo pia ulimjumuisha, Mkemia kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Hamis Malebo.
Profesa Wambebe ambaye ni raia wa Nigeria na mtaalamu bingwa mwenye uzoefu na masuala ya tiba za asili, alisema amefika Samunge kutokana na maombi ya Serikali ya Tanzania iliyoomba msaada wa WHO, kufanya uchunguzi wa dawa ya Mchungaji Mwasapila.
''Tumekuja hapa Samunge, kufuatilia tiba hii jinsi inavyotolewa na WHO kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania itaendesha utafiti kwa kuhusisha watu waliotumia dawa, Mchungaji Mwasapila na wadau wengine ili kuona inaponyesha kiasi gani," alisema Profesa Wambebe.
Alisema wanatarajia kuwa ndani ya miezi 12 watakuwa wametoa majibu juu ya ubora wa dawa hiyo na katika kipindi cha miezi mitatu ijayo watatoa maendeleo ya utafiti ambao utakuwa unafanywa.
Alisema baada ya kukamilisha utafiti, Serikali ya Tanzania ndiyo itakayoachiwa jukumu la kutangaza dawa hiyo kama inatibu kiasi gani na kama itahitaji kuboreshwa ili iwe katika mazingira ya kisasa ni nini kifanyike.
Wagonjwa wa kisukari kuanza.
Dk Sylvester alisema uchunguzi huo utaanzia kwa wagonjwa wa kisukari hasa kutokana na vipimo vyao kuwa rahisi na kufuatilia hali zao pia itakuwa ni rahisi tofauti na magonjwa mengine.
Alisema wizara ya afya inakusudia kupeleka Samunge, maabara kubwa ya kisasa ambayo wagonjwa watapimwa kabla ya kunywa dawa na baada ya kunywa watafuatiliwa kitaalamu hadi hapo itakapothibitika ubora wa dawa.
"Tunaomba wananchi wasubiri watafiti kufanya kazi kwani tayari taarifa ilitolewa kuwa dawa hii haina madhara kwa binadamu na kazi inayofuatia sasa ni kutazama ubora wake katika kutibu maradhi mbalimbali," alisema. Babu atoa shukrani.
Katika hatua nyingine, Mchungaji Mwasapila jana alitoa shukrani kwa serikali kuanzia ngazi ya Kijiji hadi wilaya kutokana ushirikiano waliompa katika msiba wa mtoto wake, Jackson (43) ambaye alifariki wilayani Babati baada ya kuugua malaria. "Napenda kushukuru Serikali Wilaya ya Ngorongoro na Babati kwa msaada mkubwa ambao wamenipa katika msiba na kuniwezesha kufika kwa wakati na kurejea hapa, pia nawashukuru wananchi wote kwa ushirikiano walionipa," alisema Mwasapila.
Habari zaidi: Bofya Hapa
RAILA AKUTANA NA MUGABE NA TSVANGIRAI MJINI HARARE…!!!

Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga amekutana na kufanya mazungumzo na rais Robert Mugabe ikulu mjini Harare nchini Zimbabwe, ambapo wamezungumza mambo kadhaa ikiwemo suala la mabadiliko ya katiba nchini humo.
Kinyume na taarifa za baadhi ya vyombo vya habari kuwa Raila hakupokelewa vizuri nchini Zimbabwe, katika ziara hiyo rais Mugabeamemkaribisha na kumtaka Waziri Mkuu huyo kushirikisha uzoefu wa Kenya katika masuala ya mabadiliko ya katiba.
Rais Mugabe amekaririwa akimwambia Bw. Raila kuwa yuko huru kuitembelea nchi hiyo na kukaa kwa muda wowote atakaopenda.
Waziri Mkuu Raila amemshauri rais Mugabe kuwa mazungumzo ya mara kwa mara na nia thabiti ndio jibu sahihi kwa mkakati wa Zimbabwe kufanikiwa kuwa na katiba mpya.
Baada ya mazungumzo katika ikulu ya Zimbabwe msafara wa Raila Odinga ulielekea katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo wa Bulawayo ambako alikutana na viongozi wa cha cha MDC.
Kwa wale wanao hitaji huduma za meno (Kind & Gentle Dental Care) Sasa wapo hapa kwa Bei poa..!!!

Kind & Gentle Dental Care specializes in maintaning your dental health and helping you improve your apperance. Our experienced friendly staff takes pride in keeping your smile healthy and beaut iful. You can rest assure that the fillings, crowns, dentures and implants are products of the highest quality and are durable. Here at Kind & Gentle we are committed to providing you with the standard of care with a gentle touch!.
For more information, visit http://www.kindandgentledental.com/default.html 10101 Georgia Avenue Silver Spring, Maryland,20902 CALL NOW (301)754-1010
'We won't let you be forgotten': Obama's pledge to storm-hit people of Alabama as death toll across the South reaches 329 and it becomes America's deadliest tornado since Great Depression
President Obama arrived to comfort survivors in Alabama on Friday, the state hardest-hit by the devastating tornadoes which have ravaged the South, killing 329 people across seven states.
With his wife Michelle at his side, he stepped through the splintered piles of rubble left behind in Tuscaloosa by the deadliest tornado outbreak to hit the U.S. since the Great Depression.
The couple offered their condolences to families trawling through the wreckage of their flattened homes, and the president vowed: 'We're going to make sure you are not forgotten.'

Offering comfort: President Obama and his wife Michelle Obama hug Alabama representative Terri Sewell as they visit survivors across the stricken state

Helping hand: President Obama meets survivors of the terrible storms as they sort through the rubble left behind in Tuscaloosa
As they flew in on Air Force One earlier this morning, he and his family saw the damage running through the state like a wide, angry scar. Mr Obama said: 'I've never seen devastation like this.'
He landed under sunny skies, and immediately spoke to Alabama Governor Robert Bentley and Tuscaloosa mayor Walt Maddox.
Mr Obama said: 'What's amazing is when something like this happens folks forget all their petty differences. 'When we're confronted by the awesome power of nature we are reminded that all we have is each other.'
Then the president walked through the flattened streets and saw the devastation first hand, in images which drew striking parallels with George W Bush's visits to New Orleans after Hurricane Katrina in 2005.
One young man told him he had witnessed debris flying up all around him, but he emerged with only cuts and bruises. Mr Obama told him: 'It's a blessing you are here.'
Afterwards Mr Obama said he was sure Tucsaloosa would rebuild in a way that would give him a story of pride to tell all over the nation.

Condolences: Speaking under sunny skies in Tuscaloosa, Alabama, President Obama vowed he would not let survivors of the tornadoes be forgotten

On their way: President Barack Obama, his wife Michelle and daughters Malia and Sasha walk towards Air Force One before leaving to visit Alabama, which is reeling from the deadliest tornado outbreak to hit the U.S. in 40 years
His spokesman, Jay Carney, said the president wanted to 'make clear the administration's commitment to helping in any way that it can, and to put a spotlight for the rest of America on what kind of suffering a storm like this can cause to so many families and businesses.
Mr Obama personally assured officials federal help will continue flowing into the stricken state. Birmingham Mayor William Bell told CNN: 'He assured us that he will continue to get us the resources necessary.
'We're doing all we can as a local government. We just need more assistance from the federal government.'
The White House has been quick to respond to the disaster in the South, eager not to repeat the mistakes made by the previous administration, which was heavily criticised for its slow reaction to Katrina six years ago.
Mr Obama's visit came as officials in a small town demolished by the tornadoes said they had run out of body bags because so many people had died.
Officials in Hackleburg said 27 of the town's 1,500 residents were killed when the storms hit. Their bodies are being stored in a refrigerated truck because there is nowhere else to put them.
The FBI has arrived to help search for 11 people who are still missing, and officials say they are in desperate need of everything from portable showers to tents and flashlights.

Devastation: An aerial view of a home in Ringgold, Georgia, shows that a tornado has completely torn off its roof, leaving nothing but misery in its wake

Before the destruction: The same block of properties in Tuscaloosa, Alabama, before the storms. Seven southern U.S. states were affected by the killer storms

Ruins: An aerial view of tornado damage shows entire block of homes in ruins in Tuscaloosa. The death toll of nearly 300 throughout the six affected states is expected to rise further still
The South is still reeling from the storms, which seemed to hug the interstate highways as they barrelled along like runaway trucks, obliterating neighbourhoods or even entire towns from Tuscaloosa in Alabama to Bristol, Virginia.
Residents were told the tornadoes were coming up to 24 minutes ahead of time, but they were just too wide, too powerful and too locked onto populated areas to avoid a horrifying body count.
‘These were the most intense super-cell thunderstorms that I think anybody who was out there forecasting has ever seen,’ said National Weather Service meteorologist Greg Carbin.
‘If you experienced a direct hit from one of these, you'd have to be in a reinforced room, storm shelter or underground’.
One family rode out the disaster in the basement of a funeral home, and another did so by huddling in a tanning bed.
In Concord, a small town outside Birmingham that was ravaged by a tornado, Randy Guyton's family got a phone call from a friend warning them to take cover.
They rushed to the basement garage, piled into a Honda Ridgeline and listened to the roar as the twister devoured the house in seconds. Afterwards they could see outside through the shards of their home and scrambled out.

Wasteland: Overnight tornadoes leave part of Pratt City, a suburb of Birmingham, Alabama, in ruins. Houses were reduced to rubble while cars were tossed about like toys before being slammed into the ground by the deadly twisters
SIKILIZA MEZA DUWARA - REDIO UJERUMANI LEO
Katika kipindi cha "MAONI Mbele ya Meza ya Duwara" cha Radio Deutsche Welle kutoka Ujerumani, ambacho kitatangazwa LEO, jumamosi mchana ( April 30, 2011 ), punde baada ya Taarifa ya Habari za Ulimwengu ya saa saba za mchana kwa saa za Afrika Mashariki, mada itakayozungumziwa ni juu ya miaka 47 ya Muungano wa Tanzania, kero zinazotajwa katika Muungano huo na mustakbali wake. Kipindi hicho kitarejewa kwa upana zaidi jumapili ijayo, tarehe Mosi Mei, 2011, punde baada ya Taarifa ya Habari za Ulimwengu ya saa 12 jioni, saa za Afrika Mashariki.
Watakaoshiriki na kutoa maoni yao ni waziri wa zamani wa serekali ya Mapinduzi na pia serekali ya Muungano, Bwana Hassan Nassor Moyo; mbunge wa Kigoma Kaskazini, Bwana Kabwe Zuberi Zitto; msemaji wa kundi la Wazanzibari walioko ng'ambo- katika nchi za Skandinavia, Dr. Yusuf Saleh Salim; na Profesa Julius Nyang'oro wa Chuo Kikuu cha Mkoa wa Carolina ya Kaskazini, Marekani, ambye pia ni mwandishi wa kitabu juu ya maisha ya Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania.
Tega sikio wakati huo ili upanuwe mawazo yako juu ya Muungano wa Tanzania.
Nakutakia usikilizaji mzuri.
LINK YAO NI http://www.dw-world.de/dw/0,,633,00.html
VODACOM TANZANIA YAZINDUA RASMI SHINDANO LA UREMBO LA VODACOM MISS TANZANIA KWA MWAKA 2011…!!!

Mkuu wa Udhamini wa Kampuni ya simu za mkononi Vodacom Tanzania, Bw. George Rwehumbiza akizungumza katika hafla fupi ya kuzindua rasmi shindano la Urembo la Vodacom Tanzania kwa mwaka 2011 wakiendelea kuwa wadhamini wakuu wa shindano hilo. Bw. Rwehumbiza alisema kwamba shindano la mwaka huu lina mvuto wa aina yake kwani warembo thelathini watakaoingia fainali hawataweka kambi hotelini kama ilivyozoeleka na watakaa kwenye nyumba maalum itakayojulikana kama nyumba ya Vodacom.


Kushoto ni Bw. George Rwehumbiza akipiga makofi pamoja na baadhi warembo waliowahi kushiriki wa Miss Tanzania kuashiria uzinduzi rasmi wa shindano la Miss Vodacom Tanzania 2011 pamoja na logo mpya ya shindano hilo. Kulia ni Mkuu wa Itifaki wa kamati ya maandalizi ya Miss Tanzania Bw. Albert Makoye na katikati ni warembo waliowahi kunyakua taji hilo.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency pia Mratibu wa mashindano ya Miss Tanzania Hashim Lundenga akitoa shukrani kwa wadhamini wakuu wa shindano la Miss Tanzania pamoja kuwatambulisha baadhi warembo waliowahi kushiriki wa shindano hilo.

Miss Tanzania 1997 Saida Kessy ambaye kwa sasa ni mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa akizungumza kwa niaba ya mamiss wenzake wakati wa uzinduzi huo.

Kutoka kushoto ni Miss Tanzania 2007 Richa Adhia, Miss Tanzania 2002 Angela Damas, Miss Tanzania 2008 Nasreen Karim, Miss Tanzania 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe pamoja na Miss Vodacom Tanzania 2010 Genevieve Mpangala.

Mwendesha shughuli MC Jokate Mwegelo akisherehesha.

Walioketi kutoka kushoto ni Mratibu wa Majaji wa kamati ya Miss Tanzania Dr. Ramesh Shah, Mkurugenzi Mtendaji wa Kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga, Mkuu wa Udhamini Vodacom Tanzania George Rwehumbiza, pamoja na Mkuu wa Itifaki ya Kamati ya Miss Tanzania Albert Makoye katika picha ya kumbukumbu na warembo mara baada ya uzinduzi.

Miss Tanzania 2007 Richa Adhia akiwa na mume wake mtarajiwa Hridhaan Dhillon.

Miss Vodacom Tanzania 2010 Genevieve Mpangala (kulia) katika pozi na shosti wake.

Friday, April 29, 2011
HARUSI NDANI YA LONDON LEO….!!!

Prince William took his new wife Catherine on a drive around the grounds of Buckingham Palace in his father's vintage Aston Martin. The crowds roared as the vehicle - with a 'just wed' numberpEdit HTMLlate - emerged. Two hours earlier the couple had thrilled the nation with their first public kiss on the Palace balcony. As the pair embraced twice, the crowd in The Mall below, chanted 'We want Kate, We want Kate' and screamed with delight.

A Royal fan dressed like a queen stands outside Buckingham Palace while waiting for Kate Middleton and her father, Michael, to travel in a Rolls Royce to Westminster Abbey.

Royal enthusiasts Molly Thorne, right, and Clarissa Marston, left, from Bedford, UK, wear bridal gowns as they cross The Mall next to Buckingham Palace along the Royal Wedding route in London Friday.

Royal greeting: The Queen met with Reverend John Hall, the Dean of Westminster, as she arrived at the Abbey.

Prime Minister David Cameron, in his tailcoat, with his wife Samantha at the Abbey.
Father of the groom: Prince Charles was one of the later royal arrivals.
Prime Minister David Cameron, in his tailcoat, with his wife Samantha at the Abbey.



Catherine Middleton and her father Michael Middleton travel past Buckingham Palace as they make their way to the Royal Wedding of Prince William to Catherine Middleton at Westminster Abbey, April 29, 2011 in London, England.

Britain’s Prince William, left, and his best man Britain’s Prince Harry arrive at Westminster Abbey at the Royal Wedding in London Friday, April, 29, 2011.




Prince William, Duke of Cambridge and Catherine, Duchess of Cambridge smile following their marriage at Westminster Abbey.
Subscribe to:
Posts (Atom)


