Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Wednesday, August 31, 2011

Qaddafi loyalists hold out during Eid, Italy says fall of Sirte to signal Colonel’s end

Libyans celebrate the first Eid al-Fitr in Green Square after the fall of Muammar Gaddafi in Tripoli. (Photo by REUTERS)
Libyans celebrate the first Eid al-Fitr in Green Square after the fall of Muammar Gaddafi in Tripoli. (Photo by REUTERS)

By AL ARABIYA WITH AGENCIES

Loyal followers of Muammar Qaddafi are refusing to surrender to
those who have forced him into hiding, raising the prospect of new fighting in Libya when an ultimatum expires after this week’s Eid holiday, as Italy says the fall of Sirte to the rebels would signal the “definitive” end of the colonel’s 42-year regime.

The new ruling council, keen to consolidate its grip and relieve hardship after six months of war, won a $1.55 billion cash injection when the UN Sanctions Committee released banknotes in Britain in frozen accounts once controlled by Qaddafi. The new leaders said Libya may start pumping oil again in days.

In the capital’s newly renamed Martyrs’ Square, hundreds of people gathered for morning prayers to celebrate the Eid al-Fitr holiday that marks the end of the Muslim fasting month of Ramadan, delighted at Qaddafi’s downfall.

DENZEL MUSUMBA AKAMILISHA SALAMU ZA EID MUBARAK KUPITIA EAST AFRICA RADIO USA

Mtangazaji wa East African Redio US Anko Denzel Musumba, aliembeba dogo Hudhaifa Shatry akiwa na mzee wa swahilivilla editor, juu ya mpangilio mzima wa kuanda kipindi cha salamu na pongezi, kilichoandaliwa rasmi na Abou Shatry, Mtangazaji wetu wa East African Redio US, Anko Danzel Musumba, pamoja na mzee wa changa moto yetu, Mubelwa Bandio, ndani ya East African Redio US.

Jana ilikuwa ni sikukuu kubwa ya waislamu Duniani kote siku ya Eid El Fitr, kwa furaha ya kuadhimisha siku hii adhimu ya kupongezana, kutoleana salamu na kutakiana kila la kheri katika mfungo mzima wa mwenzi mtukufu wa Ramadhani, uliomalizika siku ya jumatatu kumkia jumanne ya Aug,30/2011,

Baadhi ya waumini wa Jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community Washington Metropoli  (TAMCO). wanaoishi hapa DVM hawana  budi, kumpongeza ndugu yetu,  mtangazaji wetu wa East African Redio US, Bwana Denzel Musumba kwa kazi nzuri aliyo ifanya jana katika  kipindi cha salamu za kupongezana na kutakiana  edi jeema,  kupitia East Africa radio LIVE siku ya jumanne Aug 30, 2011 mida ya saa 6: PM hadi 10:PM

Mtangaziji wa Redio hiyo Bwana  Denzel Musumba, aliweza kuunganisha waumini wa dini ya kislamu na wasiokuwa waislamu kutoa pongezi zao mbali mbali na kuwatakia sikuku ya jeema ya Eid El Fitr kupitia kwa njia ya mtandao na simu ya East Africa radio USA, ambayo pia unaweza kusikiliza kwa simu ya mkononi redio hiyo kwa njia ya simu, nambari (347)857-1206 juu ya maada yoyote inayoongelewa LIVE ikitaka kuchangia maoni yako na kuongea na  mtangazaji wetu ndugu, Denzel Musumba  unabofya numbari (1),yeye atakutajia number zako za mwisho ili kukujulisha ndio wewe atakaeongea nawee na kukupa uwanjaa wakutoa maoni yako. kwa mada iliokuwa hewani.

Siku zote sitochoka kusema hivi, Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo na mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ile, hujenga jamii yenye kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha. Pale panapo mahitaji kuhusu jamii yetu kwa jumla. Hii ni kuonyesha amani, maelewana, upendo, na ustahi wajamii yetu hii tuipendayo katika kipindi hiki kigumu kilichotukabili. Chuki ni sumu ya mapenzi.

Kwa nini Eid al-Fitr ikawa siku ya Jumanne Agosti 30?

SALA YA EID EL FITR ILIOSALIWA JANA READING UK YAPATA MSUKOSUKO


Hali isiyokuwa ya kawaida ilijitokeza dakika moja tu baada ya Imamu kumaliza kusalisha sala ya Eid el Fitr wakati mwanamke mmoja wa kizungu alipovamia ukumbi uliyokuwa unatumiwa kufanyia Ibada hiyo tukufu.

KUTOKA MZALENDO NET

Mwanamke huyo wa kizungu (muingereza) anayezidi umri wa miaka 50 kwa kukadiria aliingia katika ukumbi huo huku aking’aka kukebehi na kukejeli shughuli ya Ibada ya sala wakati huo Khatibu anajitayarisha kuhutubu na kulazimika kusita kutoa khotuba.

Mwanamke huyo alionekana kuwa mkosefu wa busara, aliyekosa maadili na utamaduni wa waingireza na kushindwa kufuata taratibu za kisheria, aliamua kutumia zaidi nguvu za maneno,vitisho na jeuri mbele ya waumini wa dini ya kiislamu zaidi ya watu 60 waliojumuika pamoja kutekeleza Ibada ya sala ya Eid.

SERIKALI ZA ZANZIBAR (SMZ) YAANDAA MIPANGO ZAIDI YA AJIRA KWA WANANCHI


Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohd Shein akiwahutubia viongozi na wananchi mbalimbali hawapo pichani katika ukumbi wa salama Holl Bwawani zanzibar baada ya kumalizika kwa mfungo wa Ramadhani.

NA JUMA MOHAMMED MAELEZO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi M, Al Hajj Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali imeandaa mipango kuhakikisha inaongeza fursa zaidi za ajira rasmi na zisizo rasmi Visiwani Zanzibar.

Akihutubia Baraza la Eid-El-Fitri Mjini hapa jana, Dk Shein alisema katika mwaka wa Fedha 2011/2012 Serikali inatarajia kuajiri watu 2,476 kulingana na mahitaji na uwezo uliopo.

“Tunaelewa kuwa mahitaji ya fursa hizo ni makubwa zaidi…katika kukabiliana na uhaba wa fursa za ajira, Serikali inashajiisha wananchi kujiunga katika vikundi vya Ushirika ili waweze kunufaika” Alisema Rais Dk Shein.

Dk Shein alisema kuwa mkazo umewekwa katika kuvisaidia vikundi vya uzalishaji mali vinavyoanzishwa na vijana na wanawake ili waweze kujiajiri wenyewe wajiongezee kipato na kupambana na umaskini.

Akizungumzia mwezi mtukufu wa Ramadhan, Rais Dk Shein aliwakumbusha waumini wa Dini ya Kiislamu na wananchi wote nchini kuitumia elimu waliyoipata katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani kuimarisha mwenendo mwema na kujenga maisha bora ya duniani na akhera.

Dk Shein alisema suala la kudumisha amani, umoja na kuheshimiana miongoni mwa waislamu na wale wa dini nyengine kumewezesha kuendesha ibada hiyo katika hali ya amani na utulivu.

Alisema kwamba kuendeleza mwenendo mwema na kujiepusha na vishawishi vinavyoweza kuleta matatizo na kusisitiza suala la kujenga uadilifu hasa katika sehemu za kazi kwa wafanyakazi kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Sherehe hizo zilitanguliwa na swala ya Iddi iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja na kuhudhuriwa na Makamu wa kwanza wa Rais, Seif Shariff Hamad, Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Idd na viongozi wengine wa Serikali, Dini na Vyama vya siasa.

RAIS WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETEI KATIKA SWALA YA EID EL FITRY JIJIN DAR LEO....


Rais Jakaya Kikwete akiwapa mkono wa Idd baadhi ya waumini waliohudhuria swala ya Iddi katika Msikiti wa Kichangani, Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam leo asubuhi, kabla ya mchana kuondoka kwenda Dodoma kuhudhuria sala ya Baraza la Idd.

Rais Dk.Jakaya Kikwete akiwapa mkono wa Iddi baadhi ya waumini waliohudhuria swala ya Idd katika msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(PICHA NA FREDDY MARO)

Rais Dk.Jakaya Kikwete akiwapa mkono wa Iddi baadhi ya waumini waliohudhuria swala ya Idd katika msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Jeshi La Polisi Mkoani Dodoma Laua Watuhumiwa Wanne wa Ujambazi Baada Ya Mapambano Makali

Kamanada wa Polisi wa mkoa wa Dodoma, Zelothe Stephen akionyesha gamba lisilopenywa risasi lililonusuru maisha ya polisi wake katika mapambanao na majambazi katika pori la Goma, barabara ya manyoni-Singida nje kidogo ya mji wa Dodoma, wiki iliyopita. katika tukio hilo watuhumiwa wanne wa ujambazi waliuawa na polisi

Wananchi wakijaribu kunyanyua ili kujua uzito wa gamba lisilopenya risasi ambalo lilinurusu maisha ya polisi yaliokuwa wakipambana na majambazi wa kurushiana risasi katika msitu wa Goama, nje kidogo ya mji wa Dodoma wiki iliyopita.

Wananchi watazama maiti za watuhumiwa wa ujambazi iliyowekwa katika chumba cha maiti hospitali ya mkoa wa Dodoma

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Zelothe Stephen na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk James Nsekela na Mganga Mkuu wa hospitali ya Dodoma, Dk. Godfrey Mtei wakitoka katika chumba cha maiti kwenye hospitali hiyo Picha zote na Emmanuel Ndege -Eneo la Tukio Dodoma

Syrian troops enter Hama & raid homes, US says video of envoy ‘feeble’ bid to distract

Syrians living in Jordan attend a protest rally on the first day of Eid to demand the ouster of President Assad. (Photo by REUTERS)
Syrians living in Jordan attend a protest rally on the first day of Eid to demand the ouster of President Assad. (Photo by REUTERS)

By AL ARABIYA WITH AGENCIES

Syrian troops backed by tanks raided houses looking for activists in two main districts of the city of Hama on Wednesday, residents said, hours after Washington said that “pro-government thugs” in Syria made a “feeble attempt” to draw world attention away from protests.

Syrian authorities said the army had withdrawn from Hama this month after a 10-day assault to crush pro-democracy protests against the rule of President Bashar al-Assad, who has sent the military to numerous towns and cities across the country to crush the five-months of street protests.

DK BILAL MGENI RASMI KATIKA SWALA YA EID EL FITR VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR...!!!

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal  (wa pili kulia) Rais mstafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakiwa katika swala hiyo  ya, iliyosaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.(wa pili kulia) Rais mstafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakiwa katika swala ya EID EL FITR, iliyosaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.

Sala iliyosaliwa mapema asubuhi  ya leo, mgeni rasimi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal  (wa pili kulia) Rais mstafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakiwa katika swala hiyo  ya, iliyosaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.


Imamu Mkuu wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Masoud Mohammed Jongo, akitoa Hutba baada ya swala ya EID EL FITR, iliyosaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.


Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal, akisoma hutuba yake wakati wa swala ya EID EL FITR, iliyosaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.


Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais mstafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi baada ya kumaliza  kwa swala ya  EID EL FITR, iliyosaliwa leo hii  Jumatano Aug 31,2011 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.

ANSWAAR SUNNA WASWALI SWALA YA EID KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI LEO


Sheikh Juma Poli Amir wa Answaar Sunna Tanzania akiongoza ibada ya Eid el Futr katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo. Picha kwa hisani ya Michuzi Blog.

Mass brawl at theme park after Muslim women are banned from going on rides unless they remove their head scarves

By MARK DUELL

A theme park was forced to shut its gates to visitors when a mass brawl broke out after Muslim women were banned from rides unless they removed their headscarves.

Two park rangers were hospitalised and 15 people were arrested in the scuffle at Rye Playland in New York yesterday.

The theme park was crowded with around 6,000 visitors. Roughly 3,000 were in a Muslim tour group celebrating a holiday at the end of Ramadan

Rye Playland: A ban on wearing head coverings on rides at a theme park sparked a mass brawl that saw two park rangers hospitalised and 15 people arrested
Rye Playland: A ban on wearing head coverings on rides at a theme park sparked a mass brawl that saw two park rangers hospitalised and 15 people arrested

The incident reportedly started when women wearing Muslim hijab scarves tried to get on rides banning any head coverings.

Scuffles broke out after women became furious at not being allowed on rides with their religious head covering and started to argue with park staff, before rangers stepped.

The park entrance was closed for two hours as the fighting escalated. Ola Salem, 17, of Brooklyn, New York, was wearing a headscarf and said she was denied entry onto a ride with her eight-year-old sister.

'They said no because my of my "headgear",' she told the New York Times. 'I said: "It’s not my headgear, it’s my religion".'
However park officials said the ban was for safety reasons and they respect their customers' religious beliefs.

'Everybody got mad, everybody got upset,' Amr Khater, of Brooklyn, told The Journal News. 'It’s our holiday. Why would you do this to us?'

The women were offered refunds - but then male and female visitors started to argue among themselves, Westchester County officials said.

That apparently led to park guards stepping in. '[The guards] were beating down the girls, then they started beating down the guys as they came to their aid,' Lola Ali, 16, of Queens, told the Journal News.

Unhappy: The brawl reportedly started when women wearing Muslim hijab scarves tried to get on rides banning any head coverings for safety reasons
Unhappy: The brawl reportedly started when women wearing Muslim hijab scarves tried to get on rides banning any head coverings for safety reasons

Two intervening park rangers were injured and hospitalised. A huge police response then saw 60 patrol cars arrive from nine departments.

The Muslim American Society of New York had been advised of the rule many times before its tour took place, parks official Peter Tartaglia said

He defended the policy against head coverings on rides for safety reasons and faulted the group for not ensuring visitors understood the policy.

Mr Tartaglia said the policy is for safety, as scarves can become entangled in mechanical parts, choke riders or fly off and land in a ride's tracks.

‘We respect the religious purpose of wearing it, but we have several rides that you cannot go on with any sort of headgear,’ he said. ‘The misunderstanding was very unfortunate,’ Mr Tartaglia told Fox News

Official line: Police said the women were offered refunds - but then visitors started to argue among themselves and that's when the fight started
Official line: Police said the women were offered refunds - but then visitors started to argue among themselves and that's when the fight started

The park entrance was closed for two hours as police responded to the scene, where more than 6,000 people were inside at the time - half of whom were with the Muslim group.
Mr Tartaglia said all the people arrested were later released.

The celebration at the theme park, located just north of New York City, was for Eid al-Fitr, which marks the end of Islam's holy month of fasting, Ramadan.

Rye Playland, owned and run by Westchester County, is America's only government-owned amusement park, reported Fox News. A spokesman for the Muslim American Society of New York said it plans to investigate what happened



ICC rejects Kenya's admissibility challenge

SIKU YA KUZALIWA KWA MH IDDI SANDALY

Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njeema. Pia tumshukuru kwa siku hii adhimu  sana kwako,  Mh. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) Bwana Iddi Sandaly, kwa siku ya kuzalia kwako, wadau wote wa swahilivilla wanakutakia siku njeema, maisha marefu ya kujitanafasi, wewe pamoja na familia yako inshaallah. ''Ameen'' Pongezi ndani ya facebook maoni kick Facebook
HAPPY BIRTHDAY MH IDDI SANDALY

MAJESHI YA GHADHAFI YASALIMU AMRI


Viongozi wa waasi wa Libya wamewapa majeshi yanayomwuunga mkono Kanali Gaddafi mpaka Jumamosi kusalimu amri au kukabiliana na majeshi. 

Mustafa Abdul Jalil, anayeongoza Baraza la Mpito la Taifa (NTC), alisema onyo hilo limeelekezwa kwa wanaomtii Kanali Muammar Gaddafi waliopo mji alipozaliwa wa Sirte na katika miji mengine.

Tangazo hilo limetolewa baada ya mke wa Kanali Gaddafi na watoto wake watatu kukimbilia nchi jirani ya Algeria. Algeria imejitetea kwa hatua hiyo waliochukua, huku waasi wakiita " kitendo cha kiburi". 

Mpaka sasa mahala alipo Kanali Gaddafi haijulikani. Wakati huo huo huo huko Libya, waasi wanajaribu kupambana na wanaomtii Gaddafi, na kujiandaa kusogea Sirte.

UJUMBE WA EID EL-FITR KUTOKA KWA BALOZI LENHARDT

Na Balozi Alfonso E. Lenhardt

Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni muda ambao Waislamu duniani kote wanafunga, wanaswali na kufanya matendo mema. Aidha, ni wakati wa kutafakari na kuimarisha imani zao, kutenda mema, kuwasaidia wenye shida na kuwa na huruma.

Kwa niaba ya Watu wa Marekani, ninapenda kuwatakia Waislamu wote wa Tanzania Eid el-Fitr njema. Sherehe hizi zinahitimisha kipindi cha mwezi mzima wa kujitafakari na kutukumbusha kuwa maadili ya Uislamu - wema, kujali wengine, kuhudumia jamii, ushirikiano na huruma ni amali ambazo sisi kama Wamarekani tunazithamini sana na ambazo kwa hakika zimechangia sana katika tamaduni nyingi duniani kote.

Kama alivyosema Rais Barack Obama hapo tarehe 11 Agosti mwaka huu katika hafla ya Iftar iliyofanyika katika Ikulu ya Marekani, wakati wote Uislamu umekuwa sehemu ya familia ya Marekani na kwa muda mrefu mamilioni ya Wamarekani Waislamu wamekuwa wakichangia katika kuimarisha nchi yetu katika nyanja zote za maisha.

Balozi wa kwanza Muislamu nchini Marekani ambaye alikuwa akitoka Tunisia alialikwa na Rais Thomas Jefferson, ambaye aliandaa chakula cha jioni kwa wageni wake wakati wa magharibi kwa sababu kipindi hicho kilikuwa ni cha Ramadhani - na kufanya tukio hilo kuwa Iftar ya kwanza kuandaliwa na Ikulu ya Marekani - hiyo ilikuwa zaidi ya miaka 200 iliyopita. Jengo la kumbukubu ya Rais Thomas Jefferson katika jengo la Bunge la Marekani kuna bango liitwalo “Maelewano ya Binadamu” ambalo linauenzi Uislamu kama mambo makuu yaliyowezesha ustaarabu wa Marekani, hususan katika nyanja ya fizikia.

Marekani na Tanzania zinachangia utajiri mkubwa wa kuwa na watu wa dini na makabila mbalimbali. Katika ziara zangu kutembelea maeneo mbalimbali ya nchi hii nzuri ya Tanzania nimepata heshima kubwa ya kutembelea Misikiti, kukutana na viongozi wa kidini na waumini wa Kiislamu ili kukuza urafiki na ushirikiano wetu.

Wakati Ramadhani ikielekea ukingoni, tudumishe moyo huo wa kushirikiana na kusaidiana kama jamii moja ili watoto wetu, bila kujali wamezaliwa wapi na wanaabudu vipi waweze kupata fursa ya kuwa vile walivyopangiwa kuwa kwa jina la Mwenyezi Mungu, na katika kuimarisha utu wetu.

Eid Mubarak.

BENKI YA KCB YAKABIDHI MISAADA KWA WATOTO YATIMA ZANZIBAR

Meneja wa Banki ya Biashara ya Kenya (KCB) Limited, Rajab Ramia akikabidhi msaada wa vyakula na mafuta kwa ajili ya yatima kwa Mwenyeketi wa Jamuiya ya HUNAYN Zanzibar Salum Rajab, ambapo yatima 40 wamenufaika na msaada wa Eid El Fitry jana Zanzibar

Watoto Yatima wa Jumuiya ya  HUNAYN Zanzibar wakimsikiliza mgeni rasmi huyu baada ya kukabidhiwa vyakula kwaajili ya sikuku ya Eid El Fitry .

Zanzibari na mchakato wa IDD

Tuesday, August 30, 2011

SALA YA EID EL FITRY ILIYOSALIWA KATIKA MSIKITI WA NEW HAMPSHIRE SILVER SPRING MD


Sala ya Eid El Fitry iliyosaliwa mapema asubuhi ya leo Aug 30,2011 katika msikiti wa islamic center New Hampshire Maryland nchini marekani


Waumini wa Kiislamu wakiwa kwenye Sala ya Eid El Fitry iliyosaliwa mapema asubuhi ya leo Aug 30,2011 katika msikiti wa islamic center New Hampshire Maryland nchini marekani.

 Sala ya Eid El Fitry iliyosaliwa katika msikiti wa islamic center New Hampshire Maryland nchini marekani

Waumini wa Kiisalamu walipomaliza kusali sala ya Eid El Fitry iliosalio leo Jumanne Aug 30,2011 katika msikiti wa  wa islamic center New Hampshire Maryland nchini marekani.


Waumini wa jumaiya ya Kiislamu, Jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata flash ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid El Fitry iliosaliwa msikiti wa islamic center New Hampshire Maryland.


Picha ya pamoja baada ya sala ya Eid El Fitry iliosaliwa msikiti wa islamic center New Hampshire Maryland


Waumini wa jumaiya ya Kiislamu, Tanzanian Muslim Community Washington DC


Maalim Mussa Linga akipata flash alone baada ya  sala ya Eid El Fitry iliosaliwa msikiti wa islamic center New Hampshire Maryland

Uganda landslides: Villagers killed in Bulambuli

Heavy rains triggered the landslide, which 
completely submerged one village
At least 24 people have died after torrential rains triggered landslides in eastern Uganda, Red Cross workers say.

Residents fear 35 people may have been killed in Bulambuli district, but only 24 bodies have been recovered so far.

The village of Namwidisi has reportedly been completely submerged in mud.

Last year, hundreds died in a similar incident nearby. Officials said then they would relocate up to half a million people to avoid any repeat.

However, following some local opposition to the plans only a few thousand - those deemed most at risk - were actually moved.

The Minister of State for Relief Disaster Preparedness, Musa Ecweru, said the government planned to push ahead with relocations to avoid more deaths.

"The government plans to procure land every year to relocate people who find themselves in this kind of situation," Mr Ecweru said.

Red Cross workers and villagers are digging in the mud hoping to find survivors and retrieve bodies in the area 270km (167 miles) north-east of the capital, Kampala.


A local chief, his wife and all of his eight children were killed, reported the Daily Monitor, a leading independent Ugandan newspaper.

Several roads in the region have been cut after heavy rains over the past month.

Following last year's disaster on the slopes of Mount Elgon, it was said that rapid population growth had led people to cut down trees on the mountains, making mudslides and flooding more common.

Monday, August 29, 2011

Qaddafi family members reportedly in Algeria; Colonel said to be in Tripoli

Colonel Qaddafi family members: [From left] his daughter Aisha,  his sons Hannibal and Mohammed and his wife Safia have fled to Algeria. (Photo created by Al Arabiya)
Colonel Qaddafi family members: [From left] his daughter Aisha, his sons Hannibal and Mohammed and his wife Safia have fled to Algeria. (Photo created by Al Arabiya)

By AL ARABIYA: WITH AGENCIES

Muammar Qaddafi’s wife Safia, his daughter Aisha, and his sons Hannibal and Mohammed, were reported to enter Algeria on Monday, the official Algeria Press Service reported on its web site.

The press agency said their arrival had been reported to the United Nations and the Libyan rebel authorities while news on the whereabouts of Colonel Qaddafi himself was also revealed.

The embattled Qaddafi and his two sons are reportedly in hiding in the town of Bani Walis south of Tripoli, the Italian news agency ANSA said Monday, citing “authoritative Libyan diplomatic sources.”

GADDAFI BADO TISHIO LIBYA



Waasi wa Libya wanasema wana wasiwasi na hatma ya maelfu ya wafungwa ambao walikuwa wakishikiliwa na utawala wa Gaddafi.

Waasi wasaka nyumba ya wafuasi wa Gaddafi

Msemaji wa kijeshi wa waasi Kanali Ahmed Omar Bani amesema watu wapatao elfu 50 waliokamatwa miezi ya karibuni hawajulikani walipo.

Waasi wanaamnini kuwa wafungwa hao huenda wanashikiliwa katika maghala ya kijeshi yaliyoko chini ya ardhi, ambayo yametelekezwa.

Vikundi vya kutetea haki za binadamu vina ushahidi kwamba watu wengi wameuawa karibu na magereza, lakini Kanali Bani hajamshutumu yeyote kwa mauaji ya wafungwa hao.

"Idadi ya watu waliokamatwa kwa miezi kadha iliyopita inakadiriwa kuwa kati ya 57,000 na 60,000," amesema katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Benghazi."Mpaka sasa, Kati ya wafungwa 10,000 na 11,000 wameachiliwa huru... wengine wako wapi?"

RUSSIA UNDERSTANDS, SUPPORTS PALESTINIAN BID TO UN


Russia completely understands and Supports the Palestinian bid to gain United Nations full membership of a Palestinian state within 1967 borders in September, Sunday said PLO Executive Committee Member, Nabil Shaath in a press release after talks with Russian Deputy Foreign Minister, Mikhail Bogdanov in Moscow.

'Moscow expressed broad understanding of our positions and realization of the importance of gaining recognition of the Palestinian state in the UN for us,' said Shaath.

Ending his visit to Moscow as a special envoy for President Mahmoud Abbas, Shaath said that his visit didn't aim to make requests because Russia already recognized the Palestinian state, but they discussed details and presented recent ideas and issues concerning rallying support for the Palestinian UN bid.

Shaath's visit to Russia comes in line with the framework of the Palestinian movement towards gaining UN recognition of a Palestinian state in September.

He previously visited India and Thailand, which announced their support to the Palestinian UN bid

MPIGIE KURA MREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA

 
SMS Mrembo 1 kwenda 15550 SMS Mrembo 2 kwenda 15550

  
SMS Mrembo 3 kwenda 15550 SMS Mrembo 4 kwenda 15550

  
SMS Mrembo 5 kwenda 15550 SMS Mrembo 6 kwenda 15550

  
SMS Mrembo 7 kwenda 15550 SMS Mrembo 9 kwenda 15550

  
SMS Mrembo 10 kwenda 15550 SMS Mrembo 11 kwenda 15550

  
SMS Mrembo 12 kwenda 15550: SMS Mrembo 14 kwenda 15550

  
SMS Mrembo 15 kwenda 15550: SMS Mrembo 16 kwenda 15550

Mpigie Kura Miss Tanzania 2011, ili aweze kuibuka kidedea katika mashindano ya Miss Tanzania 2011. Kupiga kura andika neno 'mrembo' kisha acha nafasi unaandika namba yake halafu unatuma kwenda namba 15550. Anza kumpigia kura sasa, onyesha uzalendo. Pia wateja 20 wenye pointi nyingi zaidi ya wengine watajipatia TIKETI MBILI za VIP za BURE KILA MMOJA kushuhudia fainali za Vodacom Miss Tanzania. Kwa warembo wingine Click Hapa