Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Wednesday, November 30, 2011

Ndoto kama hatua...Keep on walking (II)


"May be hoping for a change is a dream, may be life aint as bad as it seems, but if dreaming is the best i can do, then i'll be dreaming my whole life through" Tanya Stephens Maneno haya ya mwanadada huyu niliyaeleza vema kwenye kipengele hiki hapa. Na kubwa hapa ni kuhusu NGUVU YA KUAMINI NA KUENDELEA KUOTA KATIKA KILE UAMINICHO.

Lakini pia nakumbuka kuwa "kichwa hiki cha post" nilishakitumia katika post hii niliyozungumzia ndoto za Dadangu Lady Jay Dee na zangu pia na kama nilivyosema katika post hiyo, ilikuwa ni MAALUM KWA NDUGU ZANGU WALIOKATA TAMAA YA KUTIMIA KWA NDOTO ZAO.

Katika maisha nimejifunza mengi sana. Na pia nimejifunza kujaribu kurejesha fikra za muunganisho wa matukio ili kuweza kuthamini pale ulipo. Na hili ni tatizo kwa wengi. Watu wengi wameshindwa kuoanisha kilichorokea na kinachotokea sasa na matokeo yake wanashindwa kuwa na FADHILA kwa wale waliowawezesha kufanikiwa walivyo (iwe ni kwa heri ama kwa shari).

Niliwahi kueleza HAPA mkasa wa mfanyakazi mwenzangu ambaye nipokutana naye wiki hiyo alinieleza kuwa ANAMSHUKURU MUNGU KUWA HAKUPATA NAFASI YA PROMOTION ALIYOKUWA ANAITAFUTA KWANI KULE ALIKOTAKA KUHAMIA NDIKO WALIKOPUNGUZA WENGI NA WALIPUNGUZA WASIO NA UZOEFU NA KAMA ANGEHAMIA ANGEKUWA HANA UZOEFU WOWOTE.

Habari hiyo ilinivutia saana nikaona nimualike kwenye Club yetu chuoni aweze kuzungumza na kuwahamasisha wanasayansi watarajiwa, na mwezi march mwaka 2009, alikuja chuoni na kuzungumza nasi. WATU WAKAPENDA NA KUJIFUNZA..Bofya hapa kwa kuendelea kusoma Zaidi. ChangamotoYetu

Dr Thomas nami March 4, 2009.
Baada ya mazungumzo hayo, nilitamani saana kushirikisha wenzangu katika alichozungumza, lakini kwa bahati mbaya SIKUWEZA. Ni kwa kuwa mengi ya aliyozungumza sikuyakumbuka kwa usahihi hivyo nikaona NI VEMA KUMTAFUTA, KISHA NIMREKODI NA KUWEZA KUSHIRIKIANA NA WAPENDWA HAPA. Nilijaribu kiasi (unakumbuka HII POST? l

Sikiliza sehemu HII fupi kati ya saa moja la mahojiano yangu na Dr Donald. Nimeweka sehemu ya HISTORIA, HARAKATI ZAKE KUJIUNGA NA NASA, ALIVYOKATA TAMAA BAADA YA KUONA AMEKOSA NAFASI HIYO, HISIA ZAKE SIKU ALIPOPATA na mwisho WITO WAKE KWETU...   FURAHIA UKIJIFUNZA 


East African Presidents meet in Burundi

clip
President Yoweri Museveni welcomced by his host President Pierre Nkurunziza

By Vision Reporter

President Yoweri Museveni and his regional counterparts are meeting in Bujumbura, Burundi for the 13th Ordinary Summit of the East African Community (EAC) Heads of State.

Top on the Summit's agenda is the consideration of the Annual Report of the Council of Ministers for the last one year, consideration of reports of the Council of Ministers on the proposed attainment of a Single Customs Territory and the Team of Experts on fears, concerns and challenges on the Political Federation.

The East African Court of Justice is also scheduled to present a report on its achievements during the last decade. The East African Community Development Strategy (2011-2016) will also be launched.

Kenya’s President Mwai Kibaki is scheduled to take over as chairman of the EAC from his Burundi leader Pierre Nkurunziza.

WATANZANIA WA LONDON NA MAJIMBO MENGINE NCHINI UINGEREZA MPOOO!

Yealeleee yaelolooo..! mambo yote yekete mambo yote ni burudani za mwisho wa Decembaer  ya 2011 kuelekea mwaka mpya 2012 kwa wale wanaopenda kuvichambura kama karanga, Taarifa rasmi kutoka kwa Chalz Baba, Maria na Baby Tall anawakaribisheni tena kwenye ukumbi wa Golden Lounge ndani ya Mji wa Milton Keynes kufanya Promo ya show yao ya Pili itakayo fanyika Siku ya Ijumaa Nov 2, 2011 

Na picha zote zitapatikana  hapa hapa kaeni mkaoo wa kula Yealeleee yaelolooo Booom..!

SMZ kupokea Ripoti Maalum za ajali ya Meli ya M.V Spice Islanders katika Mkondo wa Nungwi Mkoa Kaskazini Unguja


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatarajia kupokea Ripoti Maalum siku chache zijazo kutoka kwa Tume iliyoundwa kuchunguzwa chanzo cha kuzama kwa Meli ya M.V Spice Islanders katika Mkondo wa Nungwi Mkoa Kaskazini Unguja, lipotoa kauli hiyo hapo Afisini kwake Vuga Mjini Zanzibar   usiku wa kuamkia Tarehe 10 Septemba mwaka 2011.

Akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Elaston Mbwilo aliyefika kukabidhi mchango uliotolewa na Wananchi wa Mkoa huo kusaidia Kamati ya Maafa Zanzibar kufuatia msiba wa ajali ya M.V Spise Islanders na kusababisha Vifo vya Watu 206.

Alisema Ripoti hiyo ndio itakayokuwa sahihi ya tukio zima lililopelekea jamii kupata mtafaruku uliosababishwa na kauli Tofauti za baadhi ya Watu zilizosababisha kuwachanganya Wananchi.

Balozi Seif lisema Licha ya kazi kubwa inayowakabili wajumbe wa Tume hiyo kufanya Uchunguzi lakini kazi inakwenda vyema na Serikali imewahakikishia Wananchi kwamba Ripoti hiyo itafanyiwa kazi na uadilifu utatumika katika kuona haki inatendeka kwa kila muhusika wa tukio hilo.

Zaidi ya wandamanaji 200 wakamatwa na Maafisa wa LAPD karibu na encampment City Hall Jimbo la California


Los Angeles — LAPD officers arrest an Occupy L.A. protester near the encampment City Hall ealy Wednesday morning.

By Kate Linthicum

Much of the Occupy L.A. campsite was in shambles early Wednesday morning, with tents uprooted and strewn all over.

Most of the crowd either left or was arrested at about 2:10 a.m., but about three dozen occupiers remained on City Hall's south lawn, seated on the ground with their arms locked together in a giant circle.

Los Angeles Police Department officers pulled out the remaining occupiers one by one by their legs and arms, putting them into plastic handcuffs. Nearly all of the protesters went limp and had to be carried out.
Read more>>



SALAMU KUTOKA KWA BARACK OBAMA KUHUSU UHURU WA TANZANIA BARA.

Rais wa Marekani Mheshimiwa Barak Obama ametuma salamu za pongezi na za kuitakia baraka Tanzania wakati inapoadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Tanzania bara inatimiza miaka 50 ya Uhuru Ijumaa ya wiki ijayo, Desemba 9, 2011. Aidha, Rais Obama ameihakikishia Tanzania kuwa Marekani itaendelea kubakia rafiki na mshirika wa kuaminika katika jitihada za kuhakikisha kuwa Watanzania kujiletea maisha bora na kwa njia za amani.

Katika salamu zake kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais huyo wa Marekani ametumia lugha ya Kiswahili kuitakia baraka Tanzania akimwandikia Mheshimiwa Kikwete, ³Mungu awabariki´ na kufuatiwa na tafsiri ya maneno hayo hayo katika lugha ya Kiingereza.

Katika salamu zake, Rais Obama ameongeza kuwa umbali mkubwa wa kijiografia kati ya Tanzania unazidi kupungua kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya Wamarekani na Watanzania.

Amesisitiza Rais Obama, ³Hali ya kuwa anuwai ya taifa lako, kama ilivyo ya kwetu, ni chimbuko na msingi wa nguvu zitakazoipitisha Tanzania katika mabadiliko mengi na changamoto nyingi zinazokabili nchi yenye demokrasia inayopanuka.´

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
30 Novemba, 2001

Taifa Stars waibamiza Djibouti Mabao 3-0


Mchezaji wa Stars, alievalia jezi namba 14 akishangilia bao baada ya kuifunga timu ya Djibouti kwenye mashindano ya Tusker Cecafa Senior Challenge Cup.

Taifa Stars ilifanikiwa kushinda ushindi wa bao 3-0. ndani ya mchezo huo uliochezwa jijini hapa magoli ya Star's yalifungwa na Thomas Ulimwengu, Mwinyi Kazimoto na Yusuf Rashid. Picha na Muhamed Mambo

Cain's campaign manager says 'no way he's dropping out' amid new cheating allegation as GOP presidential hopeful plans to outline specifics of 'reassessment' today


Herman Cain's campaign manager has dismissed reports the embattled presidential contender is planning to withdraw from the race.

The Republican businessman dramatically revealed to senior staffers yesterday he is 'reassessing' his campaign amid allegations of a 13-year extra-marital affair - the latest in a series of cheating accusations.

However, Cain’s campaign manager, Mark Block, said the word was meant to imply a 'strategic reassessment' and 'not a reassessment of withdrawing' from the race.

Should I stay or should I go? Herman Cain says he needs to weigh up whether accusations that he had an extramarital relationship will create too much of a cloud in the minds of potential supporters
Should I stay or should I go? Herman Cain says he needs to weigh up whether accusations that he had an extramarital relationship will create too much of a cloud in the minds of potential supporters

Standing by her man: Herman Cain's wife Gloria, who married him in 1968, has been consistent in her support for her husband
Standing by her man: Herman Cain's wife Gloria, who married him in 1968, has been consistent in her support for her husband
As ABC News reports, Mr Block said in an interview yesterday evening there is 'no way he's dropping out'.
The GOP contender 'will lay out his way forward' during a campaign stop in Dayton, Ohio today, Mr Block said.
Cain had reached out to New York Post columnist Cindy Adams to host a gathering at her Park Avenue apartment so that he could meet some of New York’s top journalists and politicians on Sunday, but the event was cancelled in light of the staff meeting. Read more>>

ALIYEKUWA RAIS WA IVORY COAST APELEKWA MAHAKAMANI

Laurent Gbagbo, the former Ivorian president
Mwendesha mashtaka nchini Ivory Coast amesema kuwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Laurent Gbagbo, ameondoka kutoka mji wa Korhogo, kaskazini mwa nchi, na kwamba anasafirishwa hadi mahakama ya uhalifu wa kivita, mjini The Hague.

Taarifa iliyosomwa kupitia televisheni ya kitaifa iliyotiwa saini na mwendesha mashtaka huyo, imesema kuwa mahakama ya ICC ilitoa hati ya kukamatwa kwa bwana Gbagbo wiki iliyopita, ambayo alipokea hapo jana mbele ya mawakili wake.

Bwana Gbagbo amekuwa akizuiliwa katika mji wa Korhongo, Kaskazini mwa Ivory Coast, tangu mwezi Aprili. Anatarajiwa kuwasili katika mahakama ya uhalifu wa kivita mjini The Hague, Uholanzi, leo asubuhi.
Maafisa wa mahakama wa Ivory Coast wamesema kuwa ndege iliyokuwa imembeba bwana Gbagbo tayari imeondoka kutoka uwanja wa ndege wa Abidjan na kuelekea Ulaya. Endelea kusoma magangaonge

Islamists expect gains in Egypt’s poll; 80 people injured as violence flares in Cairo

A protester throws back a tear gas canister at police during clashes along a road which leads to the Interior Ministry, near Tahrir Square in Cairo. (Reuters)
A protester throws back a tear gas canister at police during clashes along a road which leads to the Interior Ministry, near Tahrir Square in Cairo. (Reuters)

By AL ARABIYA WITH AGENCIES: DUBAI/CAIRO

The Muslim Brotherhood said the parliament that emerges from Egypt’s landmark elections should form a government, setting the stage for possible confrontation between Islamists and the ruling generals who have only just named a new prime minister as the Tahrir sit-in protest against the military council entered its 12th day on Wednesday.

The results of the first phase of the three-stage poll which could bring the Muslim Brotherhood closer to power were due to start coming out on Wednesday, but the military council which took over from ousted President Hosni Mubarak has yet to step aside.

Millions of voters went to the polls in a mostly peaceful two-day vote, though the calm was shattered on Tuesday night when nearly 80 people were wounded in violence focused around a Cairo sit-in protest by activists demanding an end to army rule, according to Reuters.

Waziri wa mambo ya nje Kenya apingana na uamuzi mahakama kuu!kulikoni?

Waziri wa mambo ya nje wa Kenya ameelezea wasi wasi wake mkubwa katika maamuzi ya mahakama kuu ya kuamuru kukamatwa kwa rais wa Sudan Omar al Bashir.

Kwa mujibu wa VOA Mosses Wetangula alisema katika taarifa jumanne kuwa amri hiyo haisaidii kitu na inasababisha msuguano wa moja kwa moja juu ya msimamo wa kwamba wakuu wa nchi hawawezi kushitakiwa kwa mashitaka ya uhalifu. Ameongeza kuwa serikali ya Kenya inatafakari juu ya kukata rufaa.

Rais Al Bashir anatafutwa na mahakama ya kimataifa ya uhalifu kwa mashitaka ya uhalifu wa kivita katika eneo la Darfur Sudan ambapo serikali yake imekuwa ikipambana na waasi tangu 2003.

Hivi karibuni Mahakama kuu ya Kenya ilitoa uamuzi kwamba serikali ya nchi hiyo lazima imkamate Bashir kama akiingiza mguu wake” nchini humo. Lakini Waziri wa mambo ya nje anapopinga hilo serikali inatoa picha gani tunageukia maneno ya mwimbaji aitwaye Jaguar na kusema hili si kigeugeu?!!! Habari  hii  kwa hisani ya sundauSumari

Sikiliza katuni ya wimbo huo ukiongozwa na Raila!

Kikwete assents to constitutional review Bill


President Jakaya Kikwete

President Jakaya Kikwete on Tuesday assented to the Constitutional Review Bill, 2011 paving the way for the Constitutional Review process.

According to a statement issued on Tuesday by the Directorate of Presidential Communications, the President’s signing of the Bill comes 11 days after the National Assembly passed it on November 18 this year, during the 5th meeting of the 10th Parliament.

The signing comes a day after the President and Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amicably and successfully concluded a two-day meeting on the Bill.

MAKAMO WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI AZINDUA MPANGO WA MIUNDO MBINU YA MASOKO, UONGEZAJI THAMANI NA HUDUMA ZA FEDHA VIJIJINI


Na Othman Khamis Ame

Rais wa Zanzibar Balozi Seif amesema wakulima wengi wamekuwa wakizalisha chakula katika kiwango duni, ukosefu wa masoko na hata uwezo mdogo wa kujiwekea hakiba.

Akizindua Programu ya Miundo mbinu ya masoko, Uongezaji thamani na Huduma za Kifedha Vijijini hapo katika ukumbi wa salama Bwawani. Balozi Seif alisema Sekta ya Kilimo hivi sasa inachangia asilimi 50% ya chakula kinachotumika hapa Zanzibar.

Alisema Serikali inaendelea kuchukuwa hatua za kuimarisha miundo mbinu ya umwagiliaji, kuongeza ruzuku ya pembejeo na utekelezaji wa Program tofauti kwa lengo la kuendeleza huduma za Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

Aidha Balozi Seif alisema jumla ya shilingi Bilioni 151.43 zilitolewa mikopo kwa wastani wa wanachama 48,266 katika kipindi cha miaka sita ambao idadi kubwa zaidi ya wanawake waliomo katika vikundi vha hakiba na Mikopo.

Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na huduma za Kifedha Vijijinini utakaochukuwa Miaka saba unatarajiwa kugharimu jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 170.

Uzinduzi huo umewashirikisha baadhi ya mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi pamoja na wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi, biashara na wajasirimali watogo wadogo wadogo huko kisiwani zanzibar.

Tuesday, November 29, 2011

Picture of the Day!

Abou Shatry  Mzee wa Swahili Villa blog akiwa kapandwa na mzuka kwenye show ya King Kiki. Picha kwa hisani ya  http://sundayshomari.com

China yazitaka nchi za Sudan kubadili tofauti zao.

China inazitaka Sudan na Sudan Kusini kutatua mgogoro wao ambao unazuia mtiririko wa uuzaji mafuta nje ya nchi kutoka Kusini.

Kwa mujibu wa VOA Beijing inanunua takribani asilimia tano ya mafuta yake yote inayouza nje ya nchi kutoka Sudan Kusini.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China, Jumanne alisihi pande hizo mbili za Sudan kufanya “stara” na kutumia njia mbadala ili kutatua tofauti zao.
Sudan Kusini ambayo haipakani na bahari yeyote inategemea mabomba ya jirani zake wa kaskazini na bandari ya bahari ya Sham kusafirisha nje ya nchi mafuta yake.

Sudan ilisema ilisitisha uuzaji mafuta wa Sudan Kusini nje ya nchi kwa sababu taifa hilo jipya la Kusini linadaiwa dola milioni 730, ada ya usafirishaji.

Sudan Kusini inasema Khartoum inaitoza ada kubwa ya usafiri na mapato na kupelekea vita vya kiuchumi.

Sudan Kusini ilichukua udhibiti wa kiasi cha asilimia 75 cha mafuta ya Sudan, wakati ilipokuwa taifa huru Julai 9.

Nchi hizo mbili bado zinafanya mazungumzo juu ya namna ya kushirikiana mapato ya mafuta. Pia hawajasuluhisha suala la upande gani utadhibiti eneo la Abyei lenye utajiri wa mafuta. Habari hii kwa hisani ya 

Kwa wale ambao wanahitaji Mavazi ya Mabinti Collection Zilizobuniwa na Disegner Farha Sultan

  
Vazi la mabinti namba (1)

  
Vazi la mabinti namba (2)

  
Vazi la mabinti na (3)

  
Vazi la mabinti namba (4)

  
Vazi la mabinti namba (5)

  
Vazi la mabinti namba (6)

  
Vazi la mabinti namba (7)

  
Vazi la mabinti namba (8)

  
Vazi la mabinti namba (9)

Baadhi ya mavazi yaliobuniwa na Designer Farah Sultan yaliozinduliwa kwenye onyesho la Mitindo  Nite Siku ya Jumamosi  Nov 26, 2011 Kwenye ukumbi wa  Industrial Parkway Silver Spring MD Nchini Marekani kwa  Mawasiliano  zaidi Wasilina na

Farha Sultan Fashion Designer 
Simu No 011 443 -537- 0230 - Call: + 255-784-374- 337
+ 255-714-767-456 Email: fnaaz7@gmail.com
 *******       

DKT. MIGIRO AWATAKA WABUNGE WAWAJIBIKE KWA WANANCHI

Mhe. Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Asha-Rose Migiro akifungua mkutano wa siku mbili wa wabunge kutoka mabunge mbalimbali duniani mkutano huo unafanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York, kushoto kwake ni Rais wa Baraza Kuu la 66 la Umoja wa Mataifa, Bw. Nassir Abdulazizi Al-Nasser na kulia ni Katibu Mkuu wa IPU Bw. Anders B. Johson.

Mhe.Naibu Katibu Mkuu Asha-Rose Migiro akibadilishana mawazo na Waheshimiwa Wabunge John M. Cheyo na Betty Machunge wakati alipowakaribisha Ofisini kwake Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.Wabunge hao wapo hapa wakihudhuria mkutano wa wabunge ambao Naibu Katibu Mkuu aliufungua. Wabunge hao wanaliwakilisha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano huo. Habari hii kwa hisani ya magangaone.blog

Afghan $12bn training cost will have to be shared by world powers

French diplomatic sources say the cost of training Afghan security forces once foreign troops leave in 2014, should be shared by global powers. (Reuters)
French diplomatic sources say the cost of training Afghan security forces once foreign troops leave in 2014, should be shared by global powers. (Reuters)

By JOHN IRISH: REUTERS PARIS

World powers must share the cost of training Afghan security forces once foreign troops leave in 2014 because the United States cannot be expected to continue paying about $12 billion a year, French diplomatic sources said on Tuesday.

The sources said that Paris expected next week’s conference in Bonn marking the 10-year anniversary since the fall of the Taliban, as well as another meeting in Chicago next year, to clarify how the Afghan army would be financed − a critical measure to ensure the country’s post-NATO stability.

“We don’t really have a choice. If we’re pulling out foreign troops after 2014 then in some way there must be an international effort to support forces that can maintain security,” said one source.

“If we don’t decide in the coming months what will happen after our departure then we have to ask what we were doing in the country.”

Pinda azindua Kiwanda cha Serengeti mjini Moshi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, hii lero amezindia kiwanda cha Bia cha Serengeti tawi la Moshi mkaoni Kilimanjaro. Kinwanda hicho cha kisasa na kikubwa kipo eneo la Pasua Boma Mbuzi katika barabara ya Sukari.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ndani ya kiwanda cha Bia Serengeti tawi la Moshi mkaoni Kilimanjaro akikagua sehemu za kutengezea bia hizo.

 Ndani ya kiwanda cha Bia cha Serengeti tawi la Moshi mkaoni Kilimanjaro.kwa picha zaidi tembelea blog ya    FatherKidevu

BREAKING NEWS: American Airlines in trouble as parent firm files for bankruptcy protection


American Airlines is today making a desperate push to unload massive debt built up by years of rising jet fuel prices and labour struggles.

AMR, based in Fort Worth, Texas, along with its regional affiliate AMR Eagle Holding, are filing voluntary bankruptcy petitions to reorganise.

The move to bankruptcy protection is a crushing blow to an iconic brand and a frightful symbol of America’s dying economy.

In trouble: American Airlines and American Eagle's parent companies are filing for Chapter 11 bankruptcy protection
In trouble: American Airlines and American Eagle's parent companies are filing for Chapter 11 bankruptcy protection

The third largest U.S. airline also said its CEO Gerard Arpey will step down and be replaced by Thomas Horton - currently the company's president.

American is trying to reduce its costs and debt to remain competitive and will continue normal flight operations during the reorganisation.

American was the only major U.S. airline that didn't file for bankruptcy protection after the 9/11 attacks on New York and Washington D.C.

The last major airline to file for bankruptcy protection was Delta in 2005.
Labour costs are a big headache for American. It remains the only major airline that still must fund worker pensions.

American says labour-contract rules force it to spend at least $600 million more than other airlines. It has also struggled with rising jet fuel costs. Jet fuel cost an average of $3 per gallon so far this year - a record according to government data that goes back to 1990. Read more>>

BALOZI WA KENYE NCHINI SUDAN APEWA SAA 72 AONDOKE SUDAN


Serikali ya Sudan imemfukuza balozi wa Kenya nchini humo, kufuatia mahakama kuu ya Kenya kuamuru kukamatwa kwa Rais wa Sudan Omar al-Bashir, anayetafutwa na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Balozi wa Kenya amepewa muda wa saa 72 awe ameondoka mjini Khartoum.

Jaji wa mahakama kuu ya Kenya Nicholas Ombija alisema mwanasheria mkuu wa serikali na waziri wa usalama wa ndani lazima watekeleze amri hiyo ya kumkamata iwapo Rais al-Bashir atakanyaga tena ardhi ya Kenya.

"lazima kuidhinishwe na Mwanasheria Mkuu na waziri wa mambo ya ndani iwapo rais Bashir atakanyaga Kenya", Jaji Ombija alisema.

Japokuwa Kenya ni mwanachama wa mahakama ya ICC, vyombo vyake vya usalama havikuweza kumkamata Rais al-Bashir wakati alipoitembelea Kenya mwezi Agosti, mwaka jana.

Revealed: FIFTH Herman Cain accuser comes forward with claims of a 13-year affair with presidential candidate

By MICHAEL ZENNIE

A single mom from Atlanta claims Herman Cain flew her across the country to carry on an affair with her for 13 years.

Ginger White says the Republican presidential candidate wined and dined her at the Four Seasons and other fine restaurants and hotels throughout their relationship, which ended only eight months ago.

Mr Cain denied the affair, but a statement from his attorney side-steps the question entirely and says the allegations are not a matter open for public scrutiny.
The allegations represent the most serious claims against Mr Cain, who has been accused of sexual harassment against four other women.

Ginger White
Coming forward: Ginger White, an Atlanta businesswoman, talked to the Fox affiliate in Atlanta and said she had a 13-year affair with Herman Cain

Herman Cain
'Here we go again': Herman Cain has already denied the allegations that he had an affair, before the information fully emerged

Mr Cain began defending himself before the allegations even surfaced. He broke the news himself on CNN that Ms White would make claims against him.

'This appears to be an accusation of private, alleged consensual conduct between adults - a subject matter which is not a proper subject of inquiry by the media or the public,' says the statement from Mr Cain's lawyer.
The statement, however, does not explicitly deny the affair. Read more>> 



Kuwait’s cabinet resigns amid ‘unprecedented’ protest against corruption

Kuwait's Prime Minister Sheikh Nasser al-Mohammad al-Sabah has been accused of transferring public funds into his overseas bank accounts. (Reuters)
Kuwait's Prime Minister Sheikh Nasser al-Mohammad al-Sabah has been accused of transferring public funds into his overseas bank accounts. (Reuters)

By MUSTAPHA AJBAILI: AL ARABIYA

Kuwait’s government resigned on Monday amid simmering conflict with an opposition staging the country’s largest ever demonstration to demand the resignation of Prime Minister Sheikh Nasser Mohammad al-Ahmad al-Sabah over corruption allegations.

The official Kuna news agency reported that the country's ruler, Emir Sheikh Sabah al-Ahmad al-Sabah, issued an order “accepting resignation of Premier, ministers, stipulating cabinet serve as care-taker council General.”

Various opposition groups, including liberals, Islamists, student groups and for the first time tribal chiefs, geared up for a mass rally in the Erada (Will) Square to demand the questioning of Sheikh Nasser over corruption charges.

Zoezi la kuhesabu kura , DRC laendelea

Uchaguzi Kongo
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea katika jamhuri ya kidemokrasi ya Congo katika uchaguzi wa pili baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe,katika siku ya uchaguzi ambayo iligubikwa na hali ya mtafaruku na ghasia.

Zoezi la kuhesabu kura linaendelea katika jamhuri ya kidemokrasi ya Congo katika uchaguzi wa pili baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, katika siku ya uchaguzi ambao iligubikwa na hali ya mtafaruku, ghasia na madai ya udanganyifu.

Watayarishaji wa uchaguzi huo wameendelea na uchaguzi huo wa rais na bunge katika nchi hiyo kubwa ya Afrika ya kati licha ya hofu kuwa uchelewesho wa kufikisha vifaa vya kupigia kura na malalamiko kuhusu hatua za uchaguzi huo utaleta hali ya malalamiko makubwa katika matokeo ya uchaguzi.

Rais Joseph Kabila anakabiliwa na upinzani wa wagombea kumi, ukiongozwa na mwanasiasa wa siku nyingi wa upinzani Etienne Tshisekedi. Kiasi ya watu 18,000 wanagombea uchaguzi huo kuwania viti 500 katika bunge la Congo. Baadhi ya karatasi za kupigia kura ni jumla ya karatasi kadha kwa hiyo maafisa walipaswa kupitia kila karatasi ili kuangalia alama ya x ya mpiga kura. Habari hii kwa hisani ya dw-world.de 

Matokeo ya mwanzo yanatarajiwa kutolewa Desemba 6.

TANGAZO MAALUMU LA HITMA YA BABA YAKE JABIRI

Familia ya Jabir Carpet Cleaning itasoma Hitma ya marehemu baba yake Omari Kiegeme aliefariki Nov 26,2011 wiki iliopita huko Tegeta Dar es salamu Tanzania

Kisomo hicho kitasomwa siku ya jumamosi sehemu na wakati  watu watajulishwa baadae kwa habari zaidi wasiliana na Jabir Carpet Cleaning 202 391-9153 Herry Omar 240-286-8190