Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Wednesday, February 1, 2012

Kutoka Bungeni hii leo

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Kigoma Kusini, Davida Kafulila mara baada ya kuahirishwa kwa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Sita wa Bunge mjini Dodoma leo.

Spika wa Bunge, Anne Makinda akitoka ndani ya ukumbi wa Bunge baada ya kuahirisha Kikao cha kwanza cha Mkutano wa Sita wa Bunge la Tanzania mjini Dodoma leo Januari 31,2012 kwa picha nyengini bofya hapa

No comments:

Post a Comment