Msanii wa muziki wa injili toka nchini Tanzania, Bi Flora Mbasha amewasili nchini Marekani na jumapili hii atahudumu kwa wakazi wa Washington DC na vitongoji vyake.
Kwa mujibu wa Mchungaji Shideko wa kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministires, msanii huyo atahudumu jumapili hii sambamba na kundi la Sounds of Glory Singers wa kanisa hilo.
Ibada hiyo inategemewa kuanza saa saba mchana na kumalizika saa tisa.
Anwani ya kanisa hilo ni: 3621 CAMPUS DR, COLLEGE PARK. MD. 20740
NYOTE MNAKARIBISHWA

No comments:
Post a Comment