Kwa wale wasiomjua mwanamuziki wa kizazi kipya anaejulikana kwa jina la "Linah ndilo jina lake analotumia katika kazi zake za sanaa.
Yupo ndani ya Jiji amewasili siku chache tu zilizopita, Msanii Linah atakuwa nchini Marekani mpaka mwenzi wa May 30, katika ziara yake ya muziki na amejianda rasmi kutumbuiza, hapa Washington DC na kama majimbo 9 ya hapa Nchini Marekani.

Kwa kushirikiana na waimbaji wetu kimuziki tunawaomba tu wana DMV na vitongoji vyake kujitokeza kwa wengi ili kumuunga mkono rasmi muimbaji huyu wa kizazi kipya kama tunavyo waunga waimbaji wengine wanapowasili ndani ya DMV .
Linah atatumbuiza rasmi siku na wakati tutawajulisha, usikose vibwagizo na vipande mwanana vitakavyokupa burudani na mkaburudika.
Linah atatumbuiza rasmi siku na wakati tutawajulisha, usikose vibwagizo na vipande mwanana vitakavyokupa burudani na mkaburudika.
Vile vile Linah alibahatika kukutana na mwana harakati wa blog ya changamotoyetu, Anko Mubelwa Bandio kwa mahojiano mafupi na msanii huyo, alipozungumzia kuhusu historia yake kimuziki na maendeleo katika muziki wa kizazi kipya pamoja na ziara yake rasmi kwa burudani.
Mahojiano hayo yalifanyika siku jumamosi March 3, 2012 ndani ya Hampton Inn College Park Jijini Maryland hapa Marekani.
Mahojiano hayo yalifanyika siku jumamosi March 3, 2012 ndani ya Hampton Inn College Park Jijini Maryland hapa Marekani.

No comments:
Post a Comment