Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Tuesday, March 27, 2012

NA MAPISHI YA KINYUMBANI UPAKAJI WA HINA PAMOJA BABYSITTER SASA TUPO KARIBU YAKO


Bi Moza Binty Khamis akiwa na sahani wa samaki wa kupaka na kachumbari ya mchanganyiko wa masala flani. (Picha na Abou Shary)

Bi Moza Binty Khamis anasema "nyinyi kafanyeni kazi sisi tutalea watoto, na kwa wale mabichula wanavitamani lakini hawavipati, Tunapikisha vyakula vya kinyumbani, kama , Mandazi, Vitumbua, Sambusa, Chapati, Kababu, Pilau, Biriani nk.

Na kwa wale wanaotaka urembo wa kupakwa hinna tupo mamoja, ila kumbuka mkono mtupu haurambwi" ndivyo asemavyo "Bi Moza kwenye anga zake" maelezo zaidi kwa maelezo zaidi ya mwana harakati wetu, tafadhali angalia kwa makini Flayer iliopo hapo chini na mbari ya simu ni 301-728-3977

No comments:

Post a Comment