Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Monday, March 26, 2012

SIMBA YAICHAPA ES SETIF 2-0

Mchezaji Emanuel Okwi wa Simba akiruka juu juu kuupiga kwa kichwa mpira katikati ya mabeki wa timu ya Es Setif katika mchezo wa Kombe la Shirikisho unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, Mpira umekwisha Simba imeshinda magoli mawili yaliyofungwa na wachezaji Emmanuel Okwi goli la kwanza na Haruna Moshi "Boban" goli la pili.

Mashabiki wa Simba wanashangilia kwelikweli huku na baada ya Simba kufunga magoli mwashabiki wa Yanga walianza kuondoka uwanjani kabla ya mpira kuisha ni kazi kwelikweli.

Picha na habari zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment