Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Sunday, March 18, 2012

TIMU YA WATANZANIA DMV KWA MAANDALIZI YA LIGI YA DIASPORA WORLD CUP 2012 HAPA MD

Katika Jumapili ya Leo Feb 18, tutakuwa na kikao pamoja na mazowezi ya pamoja mnaombwa wachezaji na wapenzi wote kufika mida ya 5:Pm Mapema kwa maana hali ya hewa inaruhusu ili kumaliza mapema, katika mpango mzima wa kuchagua viongozi na kukamilisha ratiba zilizopangwa.

Tukizidi kukumbushana kuhusu mpango mzima  wa burudani ya kandanda kwa  timu ya Watanzania wanaoishi hapa DMV tumejiunga na ligi kuu ya Diaspora World Cup 2012 itakayofanyika Germantown na Hyattsville Maryland.

Mpango mzima wa ligi hiyo kuanza mwenzi wa April, katika msimu huu wa joto na kumalizika September, tunawaomba watanzania wote wanaoishi hapa DMV kusiriki katika burudani hiyo na kutoa changamoto zao na kuipa guvu timu hiyo ya Tanzania DMV pamoja na wachezaji ambao tayari wameshajitokeza na kuanza mazowezi rasmi katika uwanja wa 6001 Ager Road Hyattsville Md 20784 hapo kila siku mida ya jioni saa 6: PM.

Katika mchezo wa burudani ya kandanda timu ya Watanzania wanaoishi hapa DMV kujianda rasmi na ligi ya Diaspora World Cup 2012 itakayofanyika Germantown na Hyattsville Maryland.

Kikosi kizima cha Tanzania DMV
Mpango mzima wa ligi hiyo kuanza mwenzi wa April, katika msimu huu wa joto na kumalizika September, tunawaomba watanzania wote wanaoishi hapa DMV kusiriki katika burudani hiyo na kutoa changamoto zao na kuipa guvu timu hiyo ya Tanzania DMV pamoja na wachezaji ambao tayari wameshajitokeza na kuanza mazowezi rasmi katika uwanja wa 6001 Ager Road Hyattsville Md 20784 hapo kila siku mida ya jioni saa 6: PM. 

Pia katika burudani ya kushiriki kwenye ligi ya hiyo ya 2012 Diaspora World Cup Maryland, kuna nchi karibu 100 zilizowakilishwa, ikiwemo timu ya Tanzania DMV tayari imeshapangwa katika ( kundi F, bofya hapa) tarehe na siku za mechi hizo tutawajulisha rasmi pale, tutakapotimiza kiwango cha dedha ambacho kinahitajika kwajili ya kutimiza mpango mzima wa malipo hayo.

Tunaomba mchango ili kuwakilisha mahitaji ya timu yetu ya Tanzania hapa DMV katika burudani inayopendwa na wengi ulimwenguni, tafadhali wasiliana nasi
Namba za simu (240)-604-0574 (301) 661 6696 (301) 779 8799

Angalia video ya maelezo kwa wachezaji wenye bidii ya mazowezi wakihimiza mazowezi kwa wasio bahatika kuhudhuria kila siku

1 comment:

  1. tupo mapoja sasa swahilivilla wajulishe na wafahamishe watanzania umoja ni nguvu.

    ReplyDelete