Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Thursday, March 8, 2012

WANAFUNZI WA KIISLAM KUGOMA NCHI NZIMA TAREHE 9 KISA KUSHINIKIZA SERIKALI KUJENGA MISIKITI

TAARIFA za uhakika zilizoufikia mtandao huu wa kalulunga.blogspot.com zimesema kuwa kesho tarehe 9.03.2012 wanafunzi wa kiislam wanatarajia kugoma wakiishinikiza serikali kujenga misikiti katika kila shule za sekondari za serikali.

Maandalizi yamgomo huo yameelezwa kukamilika ambapo mwendelezo wa sakata hilo ni kutoka Ndanda ambapo kwa mkoa wa Mbeya shule moja ya wavulana ndiko kumeelezwa kuwa na makao makuu ya maandalizi hayo.

Shule hiyo mwaka jana 2011 Kiranja mkuu wa shule hiyo ambaye ni Mkristo alinusurika kuchinjwa kwa kile kilichoelezwa kuwa alikashifu dini ya wenzake.

Habari hii kwa hisani ya Kalulunga.Blog

No comments:

Post a Comment