Wapiga kura wanajua ni kwanini hawamtaki huyu dada kuwa Rais,sababu ni nyingi mno,nikizitaja hapa comment yangu haitotolewa hewani.Wapiga kura haohao wanajua ni kwa nini Idd anafaa kuwa rais,sina haja ya kuzirudia,kwani ukitazama interview zake,uongozi wake kule Malasia na hapa DMV (TAMCO) utakubaliana na mimi.
Ni kweli kabisa uliyosema. Maana tunataka kiongozi ambaye amekwenda Shule kisawasawa, Pia awe na uzoefu wa Uongozi na hali kadhalika mchapakazi. Sidhani kama kuna Mgombea anayemzidi Iddy Sandali na Amos Matali Cherehani.
Wapiga kura wanajua ni kwanini hawamtaki huyu dada kuwa Rais,sababu ni nyingi mno,nikizitaja hapa comment yangu haitotolewa hewani.Wapiga kura haohao wanajua ni kwa nini Idd anafaa kuwa rais,sina haja ya kuzirudia,kwani ukitazama interview zake,uongozi wake kule Malasia na hapa DMV (TAMCO) utakubaliana na mimi.
ReplyDeleteNi kweli kabisa uliyosema. Maana tunataka kiongozi ambaye amekwenda Shule kisawasawa, Pia awe na uzoefu wa Uongozi na hali kadhalika mchapakazi. Sidhani kama kuna Mgombea anayemzidi Iddy Sandali na Amos Matali Cherehani.
ReplyDelete