Karibu katika ibaada mkutano mkubwa wa Pasaka hapa Washington DC Metro utakaofanyika Jumamosi na Jumapili kwenye kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries.Siku ya jumamosi, itakuwa saa 10 jioni mpaka saa 1 usiku na jumapili saa 7 mchana mpaka 9 alasiri na baada ya hapo itafuatiwa na TAMASHA LA UIMBAJI.
Ibada na tamasha vitahudumiwa na mwimbaji Flora Mbasha na Mchungaji Emmanuel Masanja kutoka Tanzania.
Karibu upokee muujiza wako. Mahala ni: The Way of the Cross Gospel Ministries.
3621 Campus Drive, College Park. MD. 20705 U.S.A

No comments:
Post a Comment