Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Monday, April 9, 2012

Ndege ya ATCL yaanguka leo Kigoma

Abiria 35 na marubani waliokuwa wakisafiri na Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) wamenusurika kufa baada ya Ndege waliokuwa wakisafiria kuanguka mapema leo asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma.

Ndege hiyo inadaiwa kupata dhoruba hiyo muda mfupi baada ya kushika kasi ya kutakla kuruka na kushindwa kufanya hivyo na kuanguka, lakini rubani wake alifanikiwa kuituliza chini salama katika nyasi bila kuleta madhara.

No comments:

Post a Comment