John Sitta wakwanza kushoto akiwa na muimbaji wa kizazi kimpya Suma Lee all the way from Tanzania, New City to Washington DC akiwa na Seif Msabaha akitoa changamoto kwa timu ya waTanzania DMV katika mechi ya jana jumapili April 29,2012 asubuhi ndani ya uwanja wa SoccerPlex Stadium uliopo Ager Road Hyattsville Maryland, nchini Marekani, Timu ya Tanzania DMV ilifanikiwa ushindi wa bao 3-2 dhidi ya timu ya Ghana ya hapa Takoma Maryland
Suma Lee akiwa na Seif Msabaha mpango mzima wa All-You-Can-Eat Buffet baada ya ushindi Suma Lee back to New York.
Baada ya ushindi wa bao 3-2 Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Mh Iddi Sandaly akipata flash ya pamoja na wadau wa DMV pamoja na muimbaji wa kizazi kimpya Suma Lee ndani jiji.
Baada ya ushindi wa bao 3-2 Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Mh Iddi Sandaly akipata flash ya pamoja na wadau wa DMV pamoja na muimbaji wa kizazi kimpya Suma Lee ndani jiji.
Suma akinyosha miguu na mbura baada ya usafiri mrefu ndani ya kita Washington DC.
Suma Lee akisikiliza simu ndani ya Tanzania ' Ebana ehh nipo Washington DC"
(Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)

No comments:
Post a Comment