Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Friday, April 27, 2012

TANGAZO LA JUMUIYA YA WATANZANIA MAREKANI WASHINGTON METROPOLITAN

Uongozi wa Jumuia ya Watanzania wa DMV, unapenda kutangaza na kuwaomba wanajumuia wa DMV kujitolea na kujiunga kwenye Kamati mbali mbali, ili tuweze kulisukuma gurudumu hili la maendeleo yetu.

Tunawaomba watanzania ambao mnaweza kujitolea na kujiunga katika kamati zifuatazo. Kila kamati inahitaji watu wanne(4) mpaka watano(5).

The Administrative Committee. The Information and Communication Committee
The Finance Committee. The Governance Committee
The Social – Economic and Empowerment Committee. The Immigration Committee

Tunakuomba kama unapenda kujiunga na moja ya kamati hizi tujulishe kupitia email hii hapa chini. Tunaomba uweke jina lako na simu yako.

Email ni: atcdmv@gmail.com. Kama unaswali lolote au ushauri wasiliana na ;

Rais- Iddi Sandaly @ 301-613-5165.
Makamu wa Rais- Raymond Abraham @ 301-793-4467
Katibu- Amos Cherehani @ 240-645-2131. Muweka Hazina- Genes Malasy @ 301-367-8151

Asanteni: 

No comments:

Post a Comment