Kwa niaba ya Bw. Abdul Amin Dola na Bi. Aziza Hemed, TANZASEATTLE inapeda kuwajulisha kutakuwa na hitma ya Bi. Raya Shineni (shangazi yake Dola & mama yake Mudrik) na ya Bi.
Tatu Asakhery (mkwewe Aziza & bibi yao Adil, Mzaham, na Jamil Maalim) siku ya Jumapili April 22, 2012 saa nane na nusu (2:30pm).
Tunawaomba waTanzania tuungane na wenzetu katika kipindi hiki kigumu kwa kujitokeza na kufanikisha shughuli hii.
Kisomo kitakuwa - 1312 139th Avenue NE Bellevue WA 98005
(Sandpiper East Apartments)Namba za simu za wafiwa:
(Sandpiper East Apartments)Namba za simu za wafiwa:
Dola - 206-422-3050 Aziza - 206-854-9340
Fatma Al-Tamim Katibu Msaidizi TanzaSeattle
Ahsanteni

No comments:
Post a Comment