Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Tuesday, May 15, 2012

TANGAZO KWA WANA JUMUIA YA WATANZANIA DMV

Jumuiya ya watanzania waishio MD, VA, na DC inawaomba watanzania wenye ujuzi wa kutengeneza websites watume maombi yao kwa mwenyekiti kamati ya mawasiliano kupitia email ifuatayo atcdmv@gmail.com ambatanisha nakala ya CV kwenye email kama word attachment. Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 25 May, 2012 saa sita usiku.
KATIBU

No comments:

Post a Comment