Angalia kwa makini Hillary Clinton achezeshwa na kumwaga manyanga South Africa
Waziri wa Mambo ya Nje , usiku wa jana jumanne Aug 7 achazeshwa na kumwaga manyanga kwa furaha ndani ya jiji la Johannesburg alipokaribishwa katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Waziri wa Afrika Kusini Maite Nkoana-Mashabane.
No comments:
Post a Comment